Lissu amshukia Lowassa

Hahahaaaaa a dog is a dog kula matapishi yake hakumpi shida.
Simba hali mzoga.
Vizazi vitawahukumu.
Wapi msaliti kuja soma hii maneno ya 2014
 
Ulitaka kitoa ujumbe gani hapa le mdingi??
 
Mzee tulikuona boya enzi hizi ....kumbe kweli chama kinauzwa ....
 
chadema kwa matendo yao ya aibu wanatudhalilisha watanzania.
 
dah kweli siasa za nchi maskin ni tabu sana
 
mimi ni mwanachama wa chadema mwaminifu na mtiifu tangu mwaka 1995 na sitaki kwenda tofauti na kauli ya chama na viongozi wangu wa chadema kwenye viwanja vya mwembe yanga!
Mkuu kipara hawa vijana ni hatar
 
Aliyewapa Chadema jina la nyumbu hukukosea. Sasa wanakula matapishi yao. Siasa za Tanzania ni za unafiki na uzandiki uliopitiliza.
 
Chadema ni genge la Wahuni waliojificha katika mwamvuli wa Siasa. Leo hii Yericko anacheza singeli ya Lowassa "Unatoa Hutoi" na kula matapishi yake. Shubaaaamitt!
 
Le mutuz nna uhakika ulivujishiwa hizi movement zilizokuwa zikifanywa chini chini na Mbowe na baadhi ya vigogo kumuhusu Lowassa!!!

Maana nakumbuka mwaka 2012 kuna mwandishi sikumbuki ilikuwa gazeti gani alianika hii ishu kwa kina namna Mbowe anavyofanya vikao vya siri na team ya Lowassa kuhusu uwezekano wa kuhamia Chadema pindi Ccm wakimtosa uraisi.

Ilipofika 2015 ndipo nikahitimisha kwa kuona upinzani tz ni genge la waganga njaa tu!!!
 
B
Bure kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…