Lissu amliza Makamba angani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lissu amliza Makamba angani!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Oct 14, 2008.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  hii ni hali ya kutojiamini mh makamba katibu wa chama cha majambazi
  nimetua toka mwanza dk kumi zilizopita mh makamba akiwa kiti cha mbele kwenye ndege ya airtanzania ,akaja mh tundu lisu mzee akageuza sura alipofika mh mdee akawa karibu nae mzee imani ikamshinda akamua kuama siti
  tatizo lake asomi nyakati kila mara aoni mwenzake msekwa aisoma dira
  pole mzee wetu mtanzania wa jana siyo yule wa leo hii

  kila la kheri ukombozi ndio umeanza
   
 2. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2008
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  We Mama Mia, mbona hii habari tayari imesharushwa neno kwa neno na "Mwahahalisi"? au ulisahau kuwa uliituma ulipokuwa ume ingia kama Mwanahalisi, ukaituma tena ulipoingia kama "Mama Mia"
   
 3. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nilidhani macho yangu mimi ndio mabovu.

  Kumbe na wewe umeshtukia ?
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  niliposoma niliona alieandika kichwa cha habari akikuifaa vizuri!!!!
   
 5. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Na hii imehusu nini na elimu?
   
 6. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2008
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo kichwa cha habari ulicho andika wewe ndio kinafaa vizuri !!! ??? ...
   
Loading...