wagosi wa kaya bana nyimbo zao wakati mwingine zina maana "sifa za Kijinga"Mh, mbwembwe zote zile!
Tusubiri.
cdm kuchukua nchi ni ndoto ya alinacha, sioni walichonacho kipya zaidi ya kutaka baadhi ya watu wawe na sauti zaidi ya wengine, kwa nini kila mtu anaehoji cdm anagombana na mbowe?mbowe hutakiwi kuwa rais pole kaka
Mawazo ya kutaka kukivuruga chama si mawazo ambayo Viongozi wa CHADEMA wanastahili kuyavumilia. Hakuna ushahidi wowote unaonyesha kwamba CHADEMA ni Chama Cha Wachagga. Fikiria athari kubwa kwa CHADEMA kama watamuachia Shibuda ambaye ni Mbunge wao kuendelea kumwaga sumu kila kona ya nchi kwamba CHADEMA ni chama cha Wachagga ni si ajabu akaongezea kwamba ni chama cha Wakristo. Sidhani kama atakuwa anakijenga chama chake bali atakuwa anakibomoa.
KATIBA YA CHADEMAUANACHAMA:5.1 Sifa za kuwa MwanaChama5.1.1 Awe raia wa Tanzania.5.1.2 Awe na umri wa miaka 18 au zaidi5.1.3 Awe na akili timamu5.1.4 Awe anakubaliana na katiba, sera, kanuni na maadili ya Chama.5.1.5 Awe anakubaliana na Itikadi na falsafa ya Chama.5.1.6 Asiwe mwanaChama wa Chama kingine cha siasa baada ya kujiunga naAhsante mkuu kwa kutujuza.? Viongozi wakuu wa CDM wawe makini sana na hoja za Kibunda Msukuma. On my side swarp him away, he is lyk a bat.
Kuna haja ya Uongozi wa CHADEMA kuchunguza kama Shibuda alirudisha KADI YAKE YA UANACHAMA WA CHAMA CHA MAGAMBA-CCM!!! Yawezekana kabisa Shibuda ni mojawapo ya mashushu wa CCM waliokuja kukivuruga na kukiua CDM kabla ya Uchaguzi wa 2015.
Shibuda ameasi chama lazima aondoke! Hakuna Demokrasia isiyokuwa na mipaka. Shibuda John Madale lazima ang'olewe CDM maana anaonekana ni gamba la nyoka lililoshindikana CCM.