Lissu amechemka, angeanza na reforms ndani ya CHADEMA kwanza

CCM ni kawaida M/kiti hakai kwenye uongozi zaidi ya miaka 10 labda huko kwenu CDM
Na hata mimi sikuwa naongelea ccm, nashangaa ilikuwaje huelewi.
 
Sijui kama kuna ambaye anaweza kukuelewa...kwa hiyo mlitaka muingie kwenye uchaguzi baada ya hapo ndio reforms za chama zifanyike?
Nani awape nchi kwa majaribio?
Siku zote umekuwa mpumbavu. Kupewa nchi kwa majaribio ndiyo nn sasa. Nyerere alipopewa nchi ilikuwa kwa majaribio au wakati ulifika? Ingekuwa hivyo Malawi, Ghana 🇬🇭, Kenya, na Zambia kote wangekuwa bado wapo chini ya chama kimoja.
Kwa hiyo kwakuwa hamuwwzi kutoa nchi kwa majaribio ndo mana mnaendelea kuiba kura kwa kuwatumiq TISS Na polisi?
Ulikuwa unahoji uwepo wa FAM kama mwenyekiti wa maisha CDM au siyo wewe mjinga wao? Leo CDM wamemleta TAL unataka waanze na reforms za ndani!? Kwani TONE TONE ni nini?
Unazungumzia reforms za CDM wakati katiba ya CCM yenyewe imesiginwa juzi tu huko dodoma?
Huna hata aibu wewe huwajui mafisadi na wahujumu na waasi wa nchi hii??
C wapo hapo LUMUMBA Tu wakiiba Mali za umma? Huku wewe ukiwashangilia
Jinga Lao ni mjinga haswa
 
Kama CCM wanakuibia kura wewe mwenye akili unakuwa uko wapi? Yaani mjinga anakuibia kura wewe mwenye akili, basi wewe utakuwa mjinga zaidi!!
 
Ninaamini wengi wa wanachadema waliomchagua Lissu ndani ya chadema waliamini kulikuwa na matatizo yaliyohitaji REFORMS

Sasa ukijiuliza hadi leo ndani ya CDM ni reforms zipi zimeanza kufanyika zaidi ya chama kubakia ombaomba?

Kwani wewe ni yupi hapo?

GoVzSnaXoAAIkkC.jpeg
 
Mama kapita bila kupingwa na mpinzani yupo gerezani si inatosha hiyo? Ya chadema waachie wao haikuhusu
 
CHADEMA tulihitaji reforms, tunahitaji reforms na tutaendelea kwa reforms.

Kwa sasa No Reforms, No Erections.

Hatuezi wadidindishia CCM bila ya uwepo wa Reforms wa ginsi ya kutwaa madaraka.

Uharakati waachiwe wakina Maria, Rehema na Mdude
 
Ninaamini wengi wa wanachadema waliomchagua Lissu ndani ya chadema waliamini kulikuwa na matatizo yaliyohitaji REFORMS

Sasa ukijiuliza hadi leo ndani ya CDM ni reforms zipi zimeanza kufanyika zaidi ya chama kubakia ombaomba?
Ww kwa Akili yako unadhani ndani ya Tanzania wananchi Wana mamlaka ya kuchagua kiongozi hadi ufike na kusema reforms ianze chadema?
 
Back
Top Bottom