Lissu alivyomhoji shahidi leo- kesi Singida

NIPENI TATHIMINI ARUMERU, HIVI NI CHADEMA AU CCM? nijibuni kwa jicho la kizalendo, sitaki siasa, wewe ndo mdau kabisa lengo nikimbie ninakojua.......
 
Jamani jf, pana siku nilikuwa mahakamani kes za epa.kabla ya hapo palikuwa na kesi ya mahalu nayo ilikuwa na yafuatayo:-
wakili.unasema ya ubalozi tz nchin italia thamani yake sio sawa?
Shahidi: Ndiyo
wakili: Ulijue kama haina thamani hiyo?
Shahidi: Tokana na uzoefu wake ktk kujenga.
Wakili: Tupe wasifu wa elimu yako(cv)?
Shahidi: Nimesoma la la la mpaka juu.
Wakili: Alimwonyesha barua aloisain jk akiwa waziri mambo ya nje,ambayo inasema ile nyumba haina tatizo,je waziri mwongo?
Shahidi: Ndiyo
huyu shahidi alikuwa ndiye mwenyekiti wa tume inayofanya ununuzi wa nyumba za balozi nje ya nchi na nyumba zote zilikuwa chini yake(tume),pia kabla ya cheo hicho alikuwa ni mkuu wa protocal kipindi cha rais mkapa.
Kwa hiyo pana kazi kubwa sana ya kulikomboa taifa hili toka kwenye uozo huo,ndio mana pana mikataba mibovu mingi.
 
Kama Jaji F. Welema anamwogopa Lisu. Spika akimwona Lisu kasimama bungeni anaomba muda uishe haraka ama mic zigome jamaa asisikike. Na hawa wote ni wasomi sasa shahidi ambaye hajui A wala Z ya sheria ataweza kusimama na Lisu au ndo kujidhalilisha. Shame on magamba
j.k mwenyewe anamhara lissu hataki hata kumsikia
 
sikio la kufa halisikii dawa,rubber stamp ndivyo zilivyo,ukasuku wa kukaririshwa ukaulizwa swali yote hupotea.Inakuwa kama story ya mtu mmoja aliyekaririshwa kiingereza,aliambiwa akiulizwaswali lolote aseme yes,akiendelea kuulizwa tena aseme because of money.Basi ikatokea bahati mbaya kubwa yakatokea mauajio maeneo yale katika kamata kamata aliyekaririshwa naye akakamatwa na kuulizwa maswali kamaifuatavyo:

Hakimu:Do you kill that people?
aliyekariri:Yes
Hakimu:why
aliyekariri:because of money
Hii yote haina tofauti na mashahidi wa kesihiikukaririshwa wakati hawajui nini na ni wapi matukio hayo yalifanyika


Mkuu wewe nawe? Well, umenukuu alichouliza Hakimu. It's Ok.
 
Lissu ni kiboko yaoooooooooo. Wamuulize Jaji Werema watajua kali yake. Matusi na dharau za Werema, Sitta, Capt. Komba na Ole Sendeka yaliishia kuzimu. Mungu amlinde Lissu na watanzania kwa ujumla. Kikwete alikiri, "Ni aheri Slaa ashinde Urais kuliko Lissu kushinda Ubunge"..... Ikungi 2010. Je mashahidi wa kununuliwa?? Mpinzani wake (Jonathan Njau) is just another ****!!!!!!!!!! Peeeeeeeeeeeeeeeeeeeeople's power!!!
 
Ni nomaaaaa, CCM hamna kitu, Tunasubiria tu uchaguzi mwingine jimbo la segerea, Chadema tuongeze mbunge wa 50
 
Rev vip kala kaahadi ketu kama chadema ingeshinda arumeru?wameshinda tafadhali vunja nadhiri yako ama sivyo utashinikizwa kuivunja
 
Back
Top Bottom