We kweli mtu wa pwani mvivu hata kufikiri!!
Zaidi nimeipenda signature yako aisee, hivi unajua ni kukweli kabisa?wewe ndo umeishiwa kabisa! yani kutoa gari kwenye msafara ndo uchanga??? Mbayuwayu kashikishwa cheque imeandikwa laki tatu kwa maneno, na laki mbili kwa tarakimu, naye kakamatia ameduwaa like a mbayuwayu he is!!
Zaidi nimeipenda signature yako aisee, hivi unajua ni kukweli kabisa?
These CCM pipo wanaufundisha umma kuwa kufanikiwa huitaji kufanya kazi kwa bidii na maarifa bali hata njia za ujanja ujanja zinafaa as long as upo CCM. What a shame? Tutaendelea kweli kwa mtindo huu?
Hebu CCM tokeni huko,
AWAY WITH CCM, DOWN WITH CCM, TO HELL WITH CCM....!( ...continue the chant if you can.....).........
Mtu wa Pwani,
..of course Chadema bado ni chama kichanga, inaeleweka kwamba hawana mapesa, na resources, kama walizonazo CCM.
..lakini hilo halina maana kwamba hawana uwezo wa kuongoza.
..kwenye nchi za wenzetu wagombea wote wa Uraisi hupatiwa ulinzi na serikali. pamoja na kutoa magari ya kuongoza msafara wa Chadema, Polisi walipaswa kutoa huduma ya mawasiliano ktk msafara huo.
Tuko,
..binafsi sioni kama stori ina mtiririko au mantiki yoyote.
..lakini wakati mwingine ni lazima kujibu story kama hizi ili kuwekana sawa.
We kweli mtu wa pwani mvivu hata kufikiri!!
Majeruhi wa ajali, ar u blind?View attachment 13411
Na huyu ni wa nini?
Majeruhi wa ajali, ar u blind?
Omar,
Issue ya udini sikuianzisha mimi hapa. Mimi najibu moto kwa moto.
U sound like yule Reverend wa Florida, USA.....
Keep it up and continue to push some genuine CHADEMA sympathizers into into the hands of others...
TandaleOne, Mtu wa Pwani, Joka kuu... is this a story to discuss?!!!!!!!!! (Ndo maana nasema siku hizi CCM inaungwa mkono na vichwa maji...)
Jaribu kuongea na watu wenye akili zao wenye kadi za CCM kama utasikia hizo pumba unazosema.Zaidi nimeipenda signature yako aisee, hivi unajua ni kukweli kabisa?