Kama hata neno "Genius" limekushinda kuandika kumuhusu Mbowe huwezi kuelewa kitu,Kasome kwanza elimu bure sasahvhana unginius wowote anapolitical pregerism ya kijinga
Democracy tunaijua ss tulio ndani ya CHADEMA huwezi kutufundisha, sasa ccm ndio hamuna democracy kabisa sasa Ili tuone kama angalau kidogo mna ka democracy 2020 toeni ruksa kwa mgombea yeyote mwenye sifa za kugombea achukue form kwa ajiri ya kugombea cheo cha uraisi.tumeumia kwa sababu tunapenda democrasia ya kwel(political ethics)siyo utapeli wa kijinga
kwani hujui utamaduni wa ccm wa busara ya kawaida juu mgombea alieongoza miaka 5,anatakiwa aendelee,kama unamtegemea membe mchukueni cdmDemocracy tunaijua ss tulio ndani ya CHADEMA huwezi kutufundisha, sasa ccm ndio hamuna democracy kabisa sasa Ili tuone kama angalau kidogo mna ka democracy 2020 toeni ruksa kwa mgombea yeyote mwenye sifa za kugombea achukue form kwa ajiri ya kugombea cheo cha uraisi.