Lissu akitua nchini, mapokezi yake yatavunja record ya msiba wa Baba wa Taifa

Hili jukwaa kwa sasa lina wajinga wengi ambao hawajui kama ni wajinga!

Mijinga mmoja anaibuka na kuanza kulinganisha mapokezi ya maiti na mtu hai lakini kikubwa Nyerere alikuwa zaidi ya statesman

Kibaya zaidi, hata historia ya Mwl. Nyerere na Tanzania haijui!

Ni kweli kitendo alichofanyiwa Lissu ni kibaya sana lakini huwezi kumuweka sawa na mapokezi ya maiti ya Mwl. Nyerere. Huu ni ujinga!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
No Way.
Kitu ambacho nakijua, siku akiripoti Bungeni, the way atakavyo kuwa anatembea, ndani ya ukumbi wa Bunge kuelekea kiti cha Chief Whip, ukumbi mzima utazizima kwa furaha, wenye imani, sifa na utukufu watampa Mungu kwa kuponya Lissu na risasi 16, Ila pia kuna wabunge wengi wenye roho za utu na ubinaadamu, watatokwa na machozi ya furaha na huzuni. Furaha ya Lissu kuponyea tundu la sindano na huzuni kwa alichofanyiwa mtu huyu, binaadamu mwenzetu, halafu uki imagine na kuasume amefanyiwa unyama huu na nani, kiukweli utafikia hitimisho kuwa Tanzania, japo kuna watu tunaishi nao, ukiwaona machoni ni kama watu, lakini mioyoni hawana utu, ni mashetani wakubwa hata Lusiferi ana afadhali!. Unamfanyiaje binaadamu mwenzako unyama mkubwa kama ule?!.
P
 
Siku Mh T lissu anatua nchini mapokezi yake yatakuwa makubwa sana,kila kona kwa sasa watu wanauliza ni lini anarudi mkombozi Lissu??

Mtaambulia vipigo vya mbwa mwizi,magereni na vifo.
Ni bora aje kimia kimia kunusuru maisha ya wapenzi wake
 
Adhabu ya wasaliti unaijua wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuvuta majani ya arusha asubuhisubuhi ndo shida hii, MTU anaongea reverse tu yaani
Hili jukwaa kwa sasa lina wajinga wengi ambao hawajui kama ni wajinga!


Sent from my iPhone using JamiiForums
Duu angalia jinsi mlivyokuja kwa kasi kama mwewe kisa tuu tangazo kuwa Lissu anarudi na atapokewa kwa shangwe sana?. Woga wa nini sasa?
 
No Way.
Kitu ambacho nakijua, siku akiripoti Bungeni, the way atakavyo kuwa anatembea, kuna wabunge wengi wenye roho za utu na ubinaadamu, watatokwa na machozi kwa alichofanyiwa mtu huyu, halafu uki imagine na kuasume amefanyiwa na nani, kiukweli utafikia hitimisho kuwa Tanzania, kuna watu tunaishi nao, ukiwaona machoni ni kama watu, lakini mioyoni ni mashetani wakubwa hata Lusiferi ana afadhali!.
Unamfanyiaje binaadamu mwenzako unyama mkubwa kama ule?!.
P
Why not sir ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kumpokea shujaa airport kosa? Uongozi CHADEMA ,UKAWA tangazeni mapema lini shujaa anatua Tanzania ili sisi wa mikoani tuwahi mapokezi. Hii siku muhimu sana katika historia ya Tanzania.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Why not sir ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Just sixth sense, watu watajitokeza kama kwa Nyerere kwa mioyoni, kwa sababu wataogopa kuonekana.

Nyerere ni wetu sote ila Lissu ni wa Chadema,na Watanzania wapenda demokrasia wa ukweli na wapenda haki ambao tuko wachache.

Wana CCM hawawezi kujitokeza kwa sababu wanajua...
P.
 
Back
Top Bottom