Lissu afichua mapya sakata la Lwakatare

Lissu afichua mapya sakata la Lwakatare

Mkuu, kuna vitu vingi vimefichika ndani ya hili sakata.Nimeamua kuwa neutral kwanza nione litaishia wapi? Ludovick na Lwakatare ndiyo wanajua ukweli wa hili jambo.Very soon the truth will be revealed.Kwanza najiuliza kwanini CDM inamhangaikia Lwakatare, au anaki-black mail chama? Na Je huyu Lwakatare akiamua ku-confess kuwa ni kweli amekuwa akifanya mambo haya itakuwaje; hatima ya chama itakuwaje? Mungu ampe uzima huyu Lwakatare ili kesi hii isiishie njiani.apewe chakula sahihi na tiba yake ya kisukari ili awe mzima wa afya tujue ukweli wa sakata hili.
Kama kuna watu wanahongwa kofia tuu siku ya uchaguzi na wanasaliti nchi sembuse huyo aliyepewa elf50 kukisaliti chama!!
 
Chadema ni mpango wa mungu.mh mwenyekiti kamanda wa anga hua anasema hivyo na sisi wafuasi wake ndivyo tuaminivyo.ccm mtaitumia polisi mpaka lini?maana hawa nao wanashida ya kupanda nauli bila mishahara kupanda.
 
Siku Rwakatare akipewa dhamana mjue ndo tutafunika kaburi la ccm
 
Mi nadhani kazi ya mawakili wa CDM iwe kuonyesha kuwa mteja wao hana hatia, issue ya nani mwingine anahusika ni ya POLISI


CDM ni chama makini sana. Ukitazama kwa haraka haraka, unaweza kuona kama hawana mkakati wa ushindi. Lakini amini kwamba hawa watu ni hatari kwa mikakati ya uimara wa chama.

Ninachokiona na ambacho naamini ni kwamba wanakwenda hatua kwa hatua. Kuhimiza kwamba Mwigulu nchemba makamatwe, na wengineo ni kuwapata wahusika kamili wa mchakato mzima wa huo "ugaidi". Sas suala la kuthibitisha ugaidi wa Rwakatare na wengineo litakuja katika awamu husika.

Nadhani pia unafahamu kwamba si busara kuweka hadharani defence ya mtu anayopanga kuitumia kwenye mahakama, kabla kesi haijafikia hearing.
LAKINI:-

CDM kwa kuwa ni chama kikuu nchini ambacho kila mpenda mabadiliko ya maendeleo anakiangalia, wanahitaji na ni busara kutoa taarifa za mara kwa mara kila kinachojiri bila kuharibu nafasi yao ya ushiandi mahakamani.

SUBIRI UTAONA.
 
Mbona CDM mnahangaika sana na kutumia nguvu na hii kesi!? kama hamna hatia tulieni,, TIME WILL TELL
 
Chadema ni mpango wa mungu.mh mwenyekiti kamanda wa anga hua anasema hivyo na sisi wafuasi wake ndivyo tuaminivyo.ccm mtaitumia polisi mpaka lini?maana hawa nao wanashida ya kupanda nauli bila mishahara kupanda.
 
kuna nena napenda kulisema kama linavyotamkwa na chadema.WAO WANA HELA CHADEMA WANA MUNGU .time will tell
 
Niliwahi kusema tusimtetee sana Lwakatare inawezekana kabisa alishiriki kukisariti chama. Naomba viongozi waliangalie mara mbili hili suala tutaishia kuaibika. Hata Yuda Eskarioti alimsaliti YESU kwa vipande vya pesa 30.
 
ccm wanazan watz ni wafu....kiukweli wengi tuna elewa huu upuuzi unaofanywa na mwigulu
 
mungu wa ugaidi, kuua kwa sumu na kuteka

mkuu MUNGU ninaemzungumzia ni yule aliyemtoa daniel katika shimo la simba na pia ni yule aliyewaokoa wana wa israel kutoka Misri na pia ni yule aliyewezesha Godbless Lema kurudishiwa Ubunge wake.Pia naamini hukumu haijatoka na kwa Imani yangu siwezi hukumu hata katika inasema mtu wa kuprove mtu ana kosa ni mahakama so Mwishoni nami nitaongozwa kusema ni nani ana kosa ila kwa sasa Tuombe Mungu awe nasi daima
 
Mungu awe nasi wtz na wana-chadema wote,njama za magamba kutuvuruga,wameshindwa kabla,shame on them
 
Mbona CDM mnahangaika sana na kutumia nguvu na hii kesi!? kama hamna hatia tulieni,, TIME WILL TELL

Hapa haiongelewi kesi kinachoongelewa ni duniaielewe unyama wa Mandugu zako MACCM
 
Mi nadhani kazi ya mawakili wa CDM iwe kuonyesha kuwa mteja wao hana hatia, issue ya nani mwingine anahusika ni ya POLISI

I think kila mtu ana wajibu wa kuisaidia polisi ktk kuwaibua wahalifu.Kama kuna mhalifu unamfahamu bila kujali ni nani,kimsingi una wajibu wa kumweka hadharani,kisha mahakama itasema kama kweli anahusika au la.Kwa mtazamo wangu,hawa CDM nao wana haki na wajibu wa kumtaja mtu yeyote ilimradi wana ushahidi thabiti juu yake. Mkuu tukisema tuwaachie polisi peke yao ktk kuibua uhalifu,hatutafika popote ndio maana polisi wameanzisha utaratibu wa polisi-jamii.

On the other hand,kwa kufanya hivyo,hata sisi tumshirikishwa katika kutazama mkanda huu unavyoendelea;na ndio maana unaona hapa tunajadili,huh!
 
ccm wanazan watz ni wafu....kiukweli wengi tuna elewa huu upuuzi unaofanywa na mwigulu

unahofu na mwigulu au ugaidi mbona umeshakuwa mfu kuogopa mtu mwema zaidi ya magaidi na wagawa sumu
 
Mungu awe nasi wtz na wana-chadema wote,njama za magamba kutuvuruga,wameshindwa kabla,shame on them

mvulugwe na nani mmeshajivuluga longtime kila mkoa mnadai mnamasalia watawaumbua
 
Back
Top Bottom