Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,639
Lissu aachiwe huru au kesi iharakishwe.
Halafu Chadema na CCM warudie mazungumzo ya reconciliation in a typical 10-point agreement plan of action ( well known in conflict resolution talks)ambayo preferably yahudhuriwe na viongozi wa JWTZ.
PIa Uchaguzi Mkuu ufanyika kwa kuwashirikisha JWTZ kulinda amani wakati wa Uchaguzi. Namna hiyo Wapinzani wanaweza kuwa na imani kufanya Uchaguzi.