Lisa na musa wa TBC

halaf Musa na Masud co ndugu hta wa ukoo achlia mbal wa dam, nlmwona ck 1 akhojiwa kwny tv, alsema alpewa hlo jna cz alkuwa anampenda sana Masoud wkt aktngaza Kipanya co jina la babake, babake anaitwa George! Akaulzwa mbna mnaonekana kufanana? Aliwahakkshia watazamaj kuw kwl pa1 na kufanana wao co ndg kbsa. Huyo Nargs co yule wa Profesa J. Halip kvile nlmwona, hana hta shepu so anamnad 2 cz ndo alchopenda na uzr wa mke co sura! Pia ni kwel wana mtt m1. Waltembelewa hme kwao na huyo mtangazaj. Hyo isue ya co rzk ndo naionea hpa Jf! Inawezekana co rzk apate mtt?
Mbona huyo mke wake alikuwa demu wa kaka yake, Masud kipanya, imekaaje hii
 
Back
Top Bottom