LIRA MALAPO: UMEWAHI KUMSIKIA?

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
21,035
64,850
Huyu dada nikimsikiliza nashangaa kwanini hayuko kama wasanii wengine .
Ana kipaji kikubwa sana na hata kimuonekano ni msanii mzuri sana.
Ni mtu wa Afrika kusini, na baadhi ya nyimbo zake zipo chini.

1) Lira Malapo- Be About it.


2) Lira Malapo- Listen


3) Lira Malapo- Rise Again


CC: Red Giant
 
sijawahi msikia. yuko vizuri sana, na live anaipatia. wadada wa south nimemzoea Zahara na kale kaimbaji ka freshly ground, nakakubali sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom