haya sasa ni matusi kwa rais hayo maombi yako haywezi kupokelewa na mungu muombee yule unayempenda ndiye aanze kama kifo unakipenda.JK ni janga la kitaifa. Akifa nitafanya sherehe kubwa kufurahia kifo chake kwani ameliangamiza taifa letu.
haya sasa ni matusi kwa rais hayo maombi yako haywezi kupokelewa na mungu muombee yule unayempenda ndiye aanze kama kifo unakipenda.JK ni janga la kitaifa. Akifa nitafanya sherehe kubwa kufurahia kifo chake kwani ameliangamiza taifa letu.
tujaribu hata kuwa na hofu ya mungu kweli hii post imejaa uongo huu sasa utani؛''Kilichonishangaza zaidi ni ushiriki wa mzee Lipumba kwenye sakata hilo. kuna baadhi ya wananchi ambao wanajua undani wa sakata hilo, wamedokeza kuwa IBRAHIM LIPUMBA, Mwenyekiti wa CUF amepewa fedha na makampuni ya mafuta yakiongozwa na kampuni ya AGGRECO, ili ahamasishe wananchi wa mtwara wagomee mpango wa serikali. Pia mzee Lipumba ameandaa watu wake ili hiyo kesho walete fujo na kupora mali za wananchi. inadaiwa kuwa makampuni hayo yanapinga mradi huo ili yaendelee kunufaika na biashara ya mafuta toka mataifa ya nje. Makampuni hayo ya mafuta inadaiwa kuwa yanatumia fedha nyingi kuwanunua watu wenye ushawishi kwenye jamii ya wana Mtwara ili kuchochea vurugu. '' by lizabon
UMETUMWA NINI................., Maelezo yamejaa uongo mtupu......
wewe utakuwa someone mwenye ID ya kuchonga, ungejua maendeleo ya kusini yalivyo nyuma wala usingediriki kulihusisha swala hili na gesi, rasilimali ya gesi ndo turufu pekee ya wanamtwara kupata maendeleo toka serikalini, angalia utalii ulivyoibeba Moshi na Arusha, angalia Madini kule mji wa kahama, kuondoa gesi mtwara ni kuikandamiza zaidi mikoa ya kusini, korosho zao hawalipwi wakilalamika mnawaambia wanatumiwa na wanasiasa.
Waishije sasa? watakuwa masikini hadi lini, barabara mwaka wa 8 huu haikamiliki, wataendeleaje? acheni kuwakandamiza wananchi kiasi hicho jamani, wao ni binadamu wana thamani
JK ni janga la kitaifa. Akifa nitafanya sherehe kubwa kufurahia kifo chake kwani ameliangamiza taifa letu.
....mkuu kwa hili......... umekimbia sana hadi umepitiza nyumbani kwako....JK ni janga la kitaifa. Akifa nitafanya sherehe kubwa kufurahia kifo chake kwani ameliangamiza taifa letu.
mkuu, pia kinachowauma zaidi ni kuona miradi hiyo wanasimamia wachina. upo uwezekano pia hata aggreco wanatumika tu kwa faida ya mataifa ya magharibi
....mkuu kwa hili......... umekimbia sana hadi umepitiliza nyumbani kwako....JK ni janga la kitaifa. Akifa nitafanya sherehe kubwa kufurahia kifo chake kwani ameliangamiza taifa letu.
mkuu, inadaiwa kuwa wanamtumia lipumba kwa vile yeye ndiye kiongozi wa chama cha upinzani mwenye ushawishi mkubwa sana kule mtwara
mkuu kwa nini tusijadili maendeleo ya mtwara kwa kina na kwa mantiki ya kutatua matatizo ya mtwara na siyo kutatua kwa vurugu kama unavyofikili wewe,na unafikiri vurugu na mandamano ndiyo yataleta maendeleo.wewe utakuwa someone mwenye ID ya kuchonga, ungejua maendeleo ya kusini yalivyo nyuma wala usingediriki kulihusisha swala hili na gesi, rasilimali ya gesi ndo turufu pekee ya wanamtwara kupata maendeleo toka serikalini, angalia utalii ulivyoibeba Moshi na Arusha, angalia Madini kule mji wa kahama, kuondoa gesi mtwara ni kuikandamiza zaidi mikoa ya kusini, korosho zao hawalipwi wakilalamika mnawaambia wanatumiwa na wanasiasa.
Waishije sasa? watakuwa masikini hadi lini, barabara mwaka wa 8 huu haikamiliki, wataendeleaje? acheni kuwakandamiza wananchi kiasi hicho jamani, wao ni binadamu wana thamani
kama kweli lipumbaaaaaaa yupo nyuma ya hili basi amekwisha kisiasa
Dah una hasira sana yaelekeaJK ni janga la kitaifa. Akifa nitafanya sherehe kubwa kufurahia kifo chake kwani ameliangamiza taifa letu.