Baada ya ucjhaguzi 2020 na muda ambao JPM anatoka madarakani Lipumba atasema kila kitu maana Propesa hanaga siri.Alishasema alimsaidia JK kushinda uchaguzi tusubirie tu
2020 JPM hang'oki wewe.Sahau hilo.
Baada ya ucjhaguzi 2020 na muda ambao JPM anatoka madarakani Lipumba atasema kila kitu maana Propesa hanaga siri.Alishasema alimsaidia JK kushinda uchaguzi tusubirie tu
Eleza tija wanayopata wananchi ikiwa upinzani utaendelea kugawanyika.Sikutarajia kama jf ina watu duni wa kiwango hiki ! Hivi wewe ni nani usiyeifahamu misheni ya lipumba , ambayo hata vipofu wanaifahamu ? Unatia aibu sana ! Soma post za watu kwenye uzi huu bila shaka utaambulia chochote
Kuwa na nia ni suala moja na mgombea kukataliwa na NEC ni suala lingine,CUF ya Maalim haikuwa na nia ya kugombea Kinondoni ndiyo maana baada ya kamati kuu ya Chadema kuja na uamuzi wa kugombea suala hilo likapita moja kwa moja kama ni uamuzi wa UKAWA ingawa NLD,NCCR na CUF hawakuwa sehemu ya uamuzi huo kama walivyoshirikishwa katika kugomea majimbo matatu ya awaliHuna taarifa za Kutosha, au hujui Siasa za Upinzani zinavyoendelea. So hata bandiko lako linakosa weledi wa kuendelea kujadiliwa hapa sababu limeandikwa na mtu asieelewa kwa undani siasa za Upinzani zinavyoendelea.
Nikufahamishe tu kua Upande wa CUF-Maalim sio kwamba haukutaka kuweka Mgombea au haukua na nia ya kuweka Mgombea, la hasha. Swala ni kwamba Upande huu hauna nguvu hiyo, Msajili wa Vyama vya Siasa pamoja na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambao ndio wanaohusika na huu uchaguzi wanaitambua CUF-Lipumba kama ndio msimamizi mkuu wa shughuli za CUF kwa sasa, so hata CUF-Maalim wakipeleka majina NEC yangepigwa chini tu.
Na CUF-Maalim bado wanashikilia msimamo wao kua CUF-Lipumba ni Genge la wasaliti linalolindwa na Msajili, NEC, Polisi, Serikali, etc ili tu kuleta vurugu kwa nia ya kudhoofisha upinzani. So hata Mgombea alieweka na CUF-Lipumba ni pandikizi la CCM katika macho ya kundi la Maalim.
Huwezi kuweka nia ya kufanya kitu ambacho unajua wazi hakitakubaliwa, huo utakua Ujuha.Kuwa na nia ni suala moja na mgombea kukataliwa na NEC ni suala lingine,CUF ya Maalim haikuwa na nia ya kugombea Kinondoni ndiyo maana baada ya kamati kuu ya Chadema kuja na uamuzi wa kugombea suala hilo likapita moja kwa moja kama ni uamuzi wa UKAWA ingawa NLD,NCCR na CUF hawakuwa sehemu ya uamuzi huo kama walivyoshirikishwa katika kugomea majimbo matatu ya awali
Naam ninaposema nia ni mwanzo wa kile unachokihitaji kifanyike,je kuna sehemu CUF ya Maalim ilishatangaza dhamira ya kuweka mgombea Kinondoni na Siha?Huwezi kuweka nia ya kufanya kitu ambacho unajua wazi hakitakubaliwa, huo utakua Ujuha.
Yaani uweke nia kuvuka ferry kwa miguu kuelekea kigamboni wakati unajua hilo swala halipo hutoeleweka
Nimekuaambia huwezi kuweka nia ya kitu ambacho unajua kabisa fika kua hakiwezekani, ni kujisumbua na kupoteza muda. Sio kwamba CUF-Maalim hawana mtu wanaeweza kumsimamisha Kinondoni, bali mtu huyo hatokubaliwa NEC ndio maanaa wakaona wasijisumbue kuwaza hilo.Naam ninaposema nia ni mwanzo wa kile unachokihitaji kifanyike,je kuna sehemu CUF ya Maalim ilishatangaza dhamira ya kuweka mgombea Kinondoni na Siha?
Je kuna sehemu viongozi hao mpaka sasa wamejitokeza hadharani na kusema wanamuunga mkono mgombea wa Chadema kwa kuwa wao wamekataliwa kuweka mgombea au wamekubaliana mgombea wa Chadema awawakilishe?
Au ni zile kauli tunazosikia Chadema wakisema kuwa wanaungwa mkono na upande wa Maalim kuwa ndiyo inahalalisha dhamira ya CUF Maalim kutoweka mgombea?