digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,479
- 23,294
Kubalini kupokea ushauri,saccos yetu itakufa,nimemuelewa vizuri Prof.Lipumba ,kumbe chadema Haina wanachama Bali inawashabiki tu,Ila kakosea aliposema chadema itapoteza mashabiki,ilibidi aseme kuwa chadema itazidi kupoteza mashabiki,Hivi kuna mwenye akili timamu anaweza kumsikiliza Lipumba ?
Haruna....hilo jina usije kumpa mwanao....wengi wachawi...matapeli....vigeugeu...usaliti...ni watu wa kunyumba yumbaMwenyekiti wa chama cha Cuf Prof Lipumba amesema mkutano uliitishwa na Jaji Mtungi ulikuwa wa manufaa makubwa kwa vyama vya siasa kwa kujadili msitakabali wa taifa ila cha kushangaza mihemko ya Tundu Lisu ikaiharibia Chadema na kushindwa kuhudhuria mkutano huo.
Prof Lipumba amesema Tundu Lisu bado hatambui kama yeye ni makamu mwenyekiti wa chama cha siasa cha Chadema na akiendelea na mihemko yake ya kiharakati ataiharibia chadema kwa kupoteza mashabiki wake wengi sana.
Yeye hiyo CUF yake ipo kwanza?Kama Chadema itapoteza mashabiki si ndio vizuri yeye atumie hiyo nafasi kuikuza CUF ili kuchukua nafasi ya Chadema.
Professor kapigwa posho ya siku 6 x 150000 = 900,000 + mafuta na derevaukishindwa kuitetea haki, kuidai na kuipigania kaa kimya kuliko kujidhalilisha kwa kuwalamba miguu watawala madhalimu.
CUF haina hata ofisi huku mikoaniChadema hawana Mashabiki bali wana Wanachama. Lipumba ndiye ana mashabiki kutoka CCM.
Big brainKama Chadema itapoteza mashabiki si ndio vizuri yeye atumie hiyo nafasi kuikuza CUF ili kuchukua nafasi ya Chadema.
Huwa mnajifariji sana
Umepata bundle na sasa ni zamu/shifti yako kutukana watu.Mlelewa Ubelgiji na amsterdam na umarufu gani
Kama Chadema itapoteza mashabiki si ndio vizuri yeye atumie hiyo nafasi kuikuza CUF ili kuchukua nafasi ya Chadema.
Mwenyekiti wa chama cha Cuf Prof Lipumba amesema mkutano uliitishwa na Jaji Mtungi ulikuwa wa manufaa makubwa kwa vyama vya siasa kwa kujadili msitakabali wa taifa ila cha kushangaza mihemko ya Tundu Lissu ikaiharibia CHADEMA na kushindwa kuhudhuria mkutano huo.
Prof Lipumba amesema Tundu Lissu bado hatambui kama yeye ni makamu mwenyekiti wa chama cha siasa cha Chadema na akiendelea na mihemko yake ya kiharakati ataiharibia chadema kwa kupoteza mashabiki wake wengi sana.
Wapumbavu kama wewe mko wengiLipumba ana wafuasi wengi kuliko Lisu ndiyo maana hajakimbilia kwenda kulishwa bure Ubelgiji
Haaaa hii ndo raha ya kuwa hademaMwenyekiti wa chama cha Cuf Prof Lipumba amesema mkutano uliitishwa na Jaji Mtungi ulikuwa wa manufaa makubwa kwa vyama vya siasa kwa kujadili msitakabali wa taifa ila cha kushangaza mihemko ya Tundu Lissu ikaiharibia CHADEMA na kushindwa kuhudhuria mkutano huo.
Prof Lipumba amesema Tundu Lissu bado hatambui kama yeye ni makamu mwenyekiti wa chama cha siasa cha Chadema na akiendelea na mihemko yake ya kiharakati ataiharibia chadema kwa kupoteza mashabiki wake wengi sana.
Haaaa naonaa nguvu imeongezwa.. cut na act wafurahi cdm ikifa mbona wako disparateMwenyekiti wa chama cha Cuf Prof Lipumba amesema mkutano uliitishwa na Jaji Mtungi ulikuwa wa manufaa makubwa kwa vyama vya siasa kwa kujadili msitakabali wa taifa ila cha kushangaza mihemko ya Tundu Lissu ikaiharibia CHADEMA na kushindwa kuhudhuria mkutano huo.
Prof Lipumba amesema Tundu Lissu bado hatambui kama yeye ni makamu mwenyekiti wa chama cha siasa cha Chadema na akiendelea na mihemko yake ya kiharakati ataiharibia chadema kwa kupoteza mashabiki wake wengi sana.
Toka lini?Lisu mwenyewe ni ccm