Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
Lipumba amemshangaa Maalim Seif kumtembelea Gwajima na Lema mahabusu kisha kusema hawezi kuwatembelea mashehe waliopo gerezani wanaokabiliwa na kesi ya ugaidi
Lipumba amenishangaza sana kwa kauli yake hii na anaonekana ni mdini sana, yeye anaona ni tatizo Seif kuwatembelea Gwajima na Lema kwa sababuni wakristo na kuwaacha mashehe?
Kuwatembelea watu unapaswa uzingatie wao ni wa dini gani?
Lipumba anafaa kukemewa kwa nguvu sana