Lipumba: Maalim Seif anamtembelea Gwajima na Lema, kisha hawatembelei Mashehe mahabusu?

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Lipumba amemshangaa Maalim Seif kumtembelea Gwajima na Lema mahabusu kisha kusema hawezi kuwatembelea mashehe waliopo gerezani wanaokabiliwa na kesi ya ugaidi

Lipumba amenishangaza sana kwa kauli yake hii na anaonekana ni mdini sana, yeye anaona ni tatizo Seif kuwatembelea Gwajima na Lema kwa sababuni wakristo na kuwaacha mashehe?
Kuwatembelea watu unapaswa uzingatie wao ni wa dini gani?
Lipumba anafaa kukemewa kwa nguvu sana

Ninacho washanga
CUF.
Kwa miaka nenda rudi walikuwa wanamsifia sana mheshimiwa Lipumba.

Ni msomi wa kimataifa,
Mtaalamu wa uchumi,
Ana akili kupita wote,
PHD yake haina mfano,
Anahitajika Benki ya Dunia,
Anategemewa na Rais Museveni katika maswala ya uchumi,
Anafaa kuwa Raisi,
Mtu pekee wa kuiokoa nchi hii na umasikini,

Leo wanamwita majina yote ya kejeri.
Ati ni mjinga namba moja.

Kweli Siasa imejaa unafiki mkubwa.

Bora kujishughirisha na kilimo cha imwagiliaji.
 
Lipumba amemshangaa Maalim Seif kumtembelea Gwajima na Lema mahabusu kisha kusema hawezi kuwatembelea mashehe waliopo gerezani wanaokabiliwa na kesi ya ugaidi

Lipumba amenishangaza sana kwa kauli yake hii na anaonekana ni mdini sana, yeye anaona ni tatizo Seif kuwatembelea Gwajima na Lema kwa sababuni wakristo na kuwaacha mashehe?
Kuwatembelea watu unapaswa uzingatie wao ni wa dini gani?
Lipumba anafaa kukemewa kwa nguvu sana

Lipumbavu msaka tonge, Nyani Msaliti, hao Mashehe imezuiliwa Kutembelewa na anajua! Na kama mtu tu kuwaulizia anaitwa kuhojiwa na Kuitwa Gaidi na Rais wa Nchi, Je akiwatembelea si ndio atasingiziwa Anapanga nao Ugaidi? Lipumba ni Malaya tu!
 
Yaani kama hao mashehe ni mtego wa kumtega maalim, lipumba amefeli huyu uprofesa wake ushachacha, alitaka awatembelee ili aseme kaenda kuchukua majina ya watu wa kuuwawa huko kibiti eeh?! Ajishaue tu lakini kesha kwisha habari yak.
 
Lipumba amemshangaa Maalim Seif kumtembelea Gwajima na Lema mahabusu kisha kusema hawezi kuwatembelea mashehe waliopo gerezani wanaokabiliwa na kesi ya ugaidi

Lipumba amenishangaza sana kwa kauli yake hii na anaonekana ni mdini sana, yeye anaona ni tatizo Seif kuwatembelea Gwajima na Lema kwa sababuni wakristo na kuwaacha mashehe?
Kuwatembelea watu unapaswa uzingatie wao ni wa dini gani?
Lipumba anafaa kukemewa kwa nguvu sana

Akinusa pua, tutasikia mashehe wa uamsho ni CUF YA MAALIM SEIF
 
mtu mwenye umri wake asiye na mke wala mtoto lazima atakua na matatizo ya kisaikolojia
 
Lipumbavu msaka tonge, Nyani Msaliti, hao Mashehe imezuiliwa Kutembelewa na anajua! Na kama mtu tu kuwaulizia anaitwa kuhojiwa na Kuitwa Gaidi na Rais wa Nchi, Je akiwatembelea si ndio atasingiziwa Anapanga nao Ugaidi? Lipumba ni Malaya tu!
Ye Lipumba ameshindwaje kuwatembelea hao mashehe? Naliona kaburi la Lipumba kisiasa litazikwa rasmi 2020 itabaki CUF joka la kibisa
 
Back
Top Bottom