Na uongo mwengine huooooo!!!!!!!
Kaulizwa swali la kipuuzi na akalijibu kipuuzi. Muuliza swali akadai kuwa ushindani ni kati ya Jakaya Kikwete na Wilbord Slaa. Yeye Prof. Lipumba anamuunga mkono nani. Lipumba akajibu kwa kusema "mimi namuunga mkono Professor Ibrahim Haruna Lipumba" na kuacha kicheko!
Sasa mtoa mada atuelezee kipi kingine kiliulizwa kuhusiana na Dr. Slaa na nini lilikuwa jibu la Prof. Lipumba. Acheni unazi na uongo kwani Oktoba 31, 2010 si unazi wala uongo utakaopiga kura! :A S angry:
Katika hali ya kukosa utashi wa kisiasa Prof. Lipumba alitoa mpya pale alipombeza Dr. Slaa ni kichuguu na kujikwaza yeye mwenye kwa kudai yeye ni mlima wa Kilimanjaro.
Majigambo hayo Prof. Lipumba aliyatoa wakati akilijibu swali moja la wahudhurio mdahalo wake pale Movenpick. La kushangaza Prof. Lipumba alipokuwa analijibi swali hilo alijifananisha na Mzee Rukhsa ambaye alipoulizwa mwaka 185 juu anajionaje yeye na Raisi aliyemtangulia Nyerere Mzee Rukhsa kwa unyenyekevu mkubwa alisema yeye hafai kulingaqnishwa na Nyerere kwa sababu Nyerere ni sawasawa na Mlima Kilimanjaro na yeye ni sawasawa na kichuguu.
Kwa lugha nyingine Mzee Rukhsa yeye alijikwaza lakini Prof. Lipumba akitumia mfano uleule amejikweza na ni jukumu la wapigakura kumkwaza hapo kesho kutwa tu.
Msemo wa "Anayejikweza atakwaza" utatimia hivi punde..
Usifumbue macho ya kichwani fungua na macho ya moyoni uone vyema Lipumba kafanya mikutano lukuki lakini hata siku moja sijaona chombo cha habari kikisema au kuonesha huoni ipo namna??? unaungana na nani? maana kuna vyama muasisi wake ni mwalimu tunavijua na mjengo wake. tutafika tu.Mpaka sasa siwaelewi wapinzani kuto kuungana kama kweli wana nia moja ya kuikomboa nchi yetu.
Nimesoma nimeelewa elimu yangu haifanani na yako. yangu=yako x1000 kwa hiyo hutalingana nami kielimu elimu yako bado sana unahitaji elimu kuu ya UPAMBANUZI ndio maana unaweza hata kuwanyima wageni mafuta ya kupakaa eti kwasababu tu yako kwako acha ubinafsi.Uwe unasoma vitu na kuelewa sio unakurupuka tu utadhani unaoga nje
Mpaka sasa siwaelewi wapinzani kuto kuungana kama kweli wana nia moja ya kuikomboa nchi yetu.
ni kweli hata mimi nilipenda sana alivyoongea atn lakini jana kwenye mdahalo mmmhh uwezo ulishuka sana hakujibu hoja vyema!aliongea vizuru sana agape tv kiasi nilitaka kuamini kuwa siyo ccm b, i was dead wrong!
Nadhani LIPUMBA si mpinzani mdahalo wake wa jana na ITV uliniacha hoi na majibu yake
Mimi Binafsi naona kama ni kibaraka