Mahweso
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 1,098
- 1,501
Tuache Siasa za kuonyesha unakubalika kwa kukusanya watu na kuwabeba kwenye Maroli, sasahivi Watanzania wanatumia Akili sio mwonekano wa Maigizo, kwahiyo Mahakamani Fateni Kesi sio Siasa, Polisi lifanyieni kazi hili,
Kama mkiliacha na hili na upande wa pili ukachukua hatua ambazo Lipumba anafanya na mnamlinda ikitokea fujo msianze kulaumu, mlilifuga tatizo nyinyi.
Sababu ya kulinda Mikutano ya Lipumba na kuzuia ya Seif inatia doa na kuonyesha mko upande Fulani na kuonyeaha mnatumika kama Raisi alivyosema Polisi wanatumika vibaya, kwa hili mnatumika vibaya, ipo siku mtakuja kuiwasha nchi hii.