Lipumba kwenda na kundi la wafuasi Mahakamani ni Sawa? Upande wa pili ukifanya nini kitatokea?

Mahweso

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,098
1,501
Tuache Siasa za kuonyesha unakubalika kwa kukusanya watu na kuwabeba kwenye Maroli, sasahivi Watanzania wanatumia Akili sio mwonekano wa Maigizo, kwahiyo Mahakamani Fateni Kesi sio Siasa, Polisi lifanyieni kazi hili,

Kama mkiliacha na hili na upande wa pili ukachukua hatua ambazo Lipumba anafanya na mnamlinda ikitokea fujo msianze kulaumu, mlilifuga tatizo nyinyi.

Sababu ya kulinda Mikutano ya Lipumba na kuzuia ya Seif inatia doa na kuonyesha mko upande Fulani na kuonyeaha mnatumika kama Raisi alivyosema Polisi wanatumika vibaya, kwa hili mnatumika vibaya, ipo siku mtakuja kuiwasha nchi hii.
 
Uzuri ni kwamba watanzania wa sasa ni waelewa kuliko kipindi chochote katika historia ya nchi hii.
 
Tuache Siasa za kuonyesha unakubalika kwa kukusanya watu na kuwabeba kwenye Maroli, sasahivi Watanzania wanatumia Akili sio mwonekano wa Maigizo, kwahiyo Mahakamani Fateni Kesi sio Siasa, Polisi lifanyieni kazi hili,

Kama mkiliacha na hili na upande wa pili ukachukua hatua ambazo Lipumba anafanya na mnamlinda ikitokea fujo msianze kulaumu, mlilifuga tatizo nyinyi.

Sababu ya kulinda Mikutano ya Lipumba na kuzuia ya Seif inatia doa na kuonyesha mko upande Fulani na kuonyeaha mnatumika kama Raisi alivyosema Polisi wanatumika vibaya, kwa hili mnatumika vibaya, ipo siku mtakuja kuiwasha nchi hii.
Kunya anye kuku tu? Chadema so ndio waanzilishi wa kujazana mahakamani.kwenye Kesi ya Tundu lissu umesahau.Mbowe na Lowassa walivyosomba wanywa viroba kwenda nao central kuwatisha polisi hadi wakatawanywa
Golugwa anaita watu wajae mpaka wanadhibitiwa na polisi
Bavicha waacheni kafu na mgogoro wao
 
Huwa anWabeba kutoka lumumba, ni ulimbukeni wa kisiasa anafikiri mahakama itamsaidia au kama anatoa vitisho kuwa mahakama zimuogope.
Nadhani mahakama ipige marufuku kuleta wahuni kwa ma truck kuja kufanya fujo mahakamani
 
Tuache Siasa za kuonyesha unakubalika kwa kukusanya watu na kuwabeba kwenye Maroli, sasahivi Watanzania wanatumia Akili sio mwonekano wa Maigizo, kwahiyo Mahakamani Fateni Kesi sio Siasa, Polisi lifanyieni kazi hili,

Kama mkiliacha na hili na upande wa pili ukachukua hatua ambazo Lipumba anafanya na mnamlinda ikitokea fujo msianze kulaumu, mlilifuga tatizo nyinyi.

Sababu ya kulinda Mikutano ya Lipumba na kuzuia ya Seif inatia doa na kuonyesha mko upande Fulani na kuonyeaha mnatumika kama Raisi alivyosema Polisi wanatumika vibaya, kwa hili mnatumika vibaya, ipo siku mtakuja kuiwasha nchi hii.
Kuangalia kwa jicho la kiamani na usalama ni sawa.
Mwambieni pia Lema, magenge ya watu mahakamani si wazo zuri hata kidogo.
 
kuna watu hapa wanachanganya issues, issue sio watu kwenda mahakamani, issue ni kuwa mwingine anazuiliwa na mwingine analindwa.

haya changieni sasa
 
Kuangalia kwa jicho la kiamani na usalama ni sawa.
Mwambieni pia Lema, magenge ya watu mahakamani si wazo zuri hata kidogo.

Usichanganye mambo, issue ya Lema ni tofauti, watu wanaokwenda kwenye kesi yake ni wamoja wakati issue ya Lipumba ni kuwa kuna pande mbili hasimu zinazosigana sasa kila upande ukipeleka wafuasi wake pale mwisho wa siku itatokea vurugu na uvunjifu wa amani.
 
Huyu msajili wa vyama vya siasa, ana ajenda ya kuifuta Cuf kama alivyoelekezwa na CCM. Ila kinachomzuiya ni kesi iliyoko mahkamani. Kwani unadhani wewe msajili kufuta cuf ndio mumefanikiwa. Kwa taarifa yako sisi tunaoumwa na cuf kwetu itakuwa safi sana kukifuta, maana itakuwa rahisi kutekeleza yetu tunayoyataka bila pingamizi ya kiongozi yeyote. Si wewe msajili tayari ulishazungumza na watu wa usalama kwamba umeamrishwa uifute cuf. Nakukumbusha kidogo, 1963 wananchi walishinda uchaguzi mukaja mukawapindua, 1985 Idrisa hakushinda uchaguzi mukawadharau wananchi, 1990 Salmini alipata kura chache sana mkamlazimisha kukalia kiti. Chaguzi za vyama vingi tokea 1995 mpaka 2015 wagombea wa urais wa ccm wanashindwa ila munalalazimisha wawe wameshinda bila kuona haya. Kumbuka muliuwa watu 20000 1964, Chemkapa kuwa watu 75 mwaka 1995, Omari Ali Juma tuna imani aliuliwa, Idrisa alilazimishwa kuachia madaraka, Jumbe pia nae ,Seif Sharif na kundi lake pia muliwafukuza. Sasa tunakusubiri ufute cuf ili tuchukue sheria mikononi mwetu maana huyu Seif huwa hapendi revenj, upo babu apo . Urojo udumu.
 
Mambo ya Lipumba na Seif CHADEMA inatoka wapi tena!? Khaaaa hivi hamuwezi kuishi bila kuiwaza CHADEMA?
 
Back
Top Bottom