'Lipumba kuaga mwili wa mhariri'

kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,341
12,045
Hii ndo heading ktk gazeti la 'Jambo leo' labda sielewi kwani huyu Lipumba ni nani hapa nchini?
 
Ni profesa wa uchumi wa ngazi ya kimataifa ambaye amesoma na kupata heshima zote kwa juhudi zake bila kusubiri heshima za kuokota na kuzawadiwa kama za yule jamaa aliyeitwa 'dhaifu'.
Anaenda kwenye misiba isiyo na kamera nyingi ambayo baba riz hauwezi kumkuta kwani huwa anahesabu idadi ya kamera kabla ya kwenda.
 
Back
Top Bottom