Lipumba, kataza kwa vitendo kampeni za msikitini

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,617
Nipo Arusha kikazi nimefikia maeneo ya Kaloleni kwenye guest house inaitwa Gajas.

Kwa wanaoishi mitaa hii watakubaliana na mimi kuwa eneo hili lina ofisi za mtendaji na pembeni kuna msikiti mkubwa sana.

Katika kupita pita jirani na huo msikiti jioni hii nikakuta maustaadh wanahimizana kuhakikisha mapokezi ya Lipumba yanavunja rekodi.

Hawakuwa wakitumia spika zao lakini nilifanikiwa kuthibitisha kuwa 'kikao kile kilichokuwa offline' kilikuwa na lengo la kufanya mkutano wa Lipumba upate heshima unayostahili.

Ombi langu kwa Lipumba aseme hadharani kuwa CUF ni chama cha dini zote, akemee hadharani kampeni za nyumba za ibada na afungue milango kwa moyo wote kwa wasio waislam kungia, short of that lipumba UTANIKUMBUKA
 
Sultani na msikiti hawaachani mbali. Kumbukeni maneno ya Jusa kuwa CUF ilishindwa uchaguzi wa jimbo la Uzini kwa kuwa Uzini inakaliwa na Wakristo pia.

Na kama unayastaajabia ya msikiti huo mmoja, basi kaa ukijua ipo misikiti cronic kwa mahubiri ya siasa za CUF.
 
Ni kweli hata mimi nimeambiwa na jamaa yangu wa Arusha mapokezi yataanzia misikiti kadhaa.
 
CUF is catalyzing the issue. Angeanza kukemea Jangwani, waliposema waislamu waingie kwenye chama ili kuthibitisha tuhuma.
 
cuf inapolaumiwa kuwa ni chama cha udini either kwa propaganda(za ccm) au kwa uhalisia wa mambo inabidi ijibu hoja hizi na kutokukaa kimya...
tangu lini chama cha siasa mapokezi yakahamasishiwa msikitini??
 
Cuf ni ya waislam hta kwenye kampeni ya ponda ya kugomea sensa lipumba alichangia laki moja ili kufanikisha mpango wa kugomea sensa, viongozi wanaoendekeza udini mbele km lipumbavu ni hatari na hawatufai
 
Dah kweli hii ni hatari kwa chama na watanzania pia. Inabidi Watu wa A.town tuungane kwa pamoja kukataa haya maangamizi ya kidini ila wajue hii watapoteza tu maana hamna chama kinaweza kushinda kwa kutegemea dini moja. Inabidi Watz wawe makini maana kwa malalamiko ya yule Msemaji wao Anayeitwa Kambaya..... inaweza kukodi vikundi vya kigaidi ili kuvuruga amani...... Dah hii ni hatari sana
 
CDM na CCM ni km kasuku na bwana wake wimbo aliokuwa anauwimba CCM hivi kasuku CDM anaigiza vile vile km bwana wake CCM...Wimbo wa udini uliimbwa na CCM na sasa cdm wanaigiza

Ht CDM mipango yote ilikuwa inapangwa kanisan kupitia yule katibu wa arusha ambaye ni mchungaji.
 
Tanzania siasa bado hatuijui vizuri ila tunachukulia siasa kama chuki au ushabiki wa mpira.Sioni tatizo lipowapi ikiwa Lipumba anaomba kura Msikitini na sitoona tatizo vilevile kama Dr Slaa ataomba kura kanisani.Kwakua Profesa Lipumba ni muisilamu basi kusali kwake kutakuwa ni msikitini na Dr Slaa vilevile kwakuwa ni mkristo kusali kwake kutakua kanisani.Na hawa wote lazima watakuwa na fursa nyingi pia ya kuwataka wafuasi wenzao ktk dini zao na kuwashawishi kujiunga na vyama vyao mbali wanavojitokeza nje ya nyumba za ibada.
 
Wacha tantarira hizo wewe!
 
CDM na CCM ni km kasuku na bwana wake wimbo aliokuwa anauwimba CCM hivi kasuku CDM anaigiza vile vile km bwana wake CCM...Wimbo wa udini uliimbwa na CCM na sasa cdm wanaigiza

Ht CDM mipango yote ilikuwa inapangwa kanisan kupitia yule katibu wa arusha ambaye ni mchungaji.

Mkuu unapinga au unatetea CUF kufanya kampeni msikitini?
 
Cuf ni ya waislam hta kwenye kampeni ya ponda ya kugomea sensa lipumba alichangia laki moja ili kufanikisha mpango wa kugomea sensa, viongozi wanaoendekeza udini mbele km lipumbavu ni hatari na hawatufai
pale mwembe yanga au? kama pale hilikua kwenye baraza la idi...sio mambo ya siasa anao uhuru wa kuabudu.
 
Dah kweli hii ni hatari kwa chama na watanzania pia. Inabidi Watu wa A.town tuungane kwa pamoja kukataa haya maangamizi ya kidini ila wajue hii watapoteza tu maana hamna chama kinaweza kushinda kwa kutegemea dini moja. Inabidi Watz wawe makini maana kwa malalamiko ya yule Msemaji wao Anayeitwa Kambaya..... inaweza kukodi vikundi vya kigaidi ili kuvuruga amani...... Dah hii ni hatari sana

Wa hache Chadema tunashirikiana na DAVID CAMERON? tunasaka magaidi wote....tukishilikiana na Christian democtic a...ujerimani? hawatoki
 
Mi nina cd 2 za 2010 zimerekodiwa misikiti ya dar zikihamasisha waislamu kukataa kumchagua padri dr slaa na kumpa kura muislamu mwenzao kikwete .udini upo wazi wazi
 
Ili CUF kikubalike kama chama cha watanzania wote ni lazima wafute hii taswira ya Uislamu iliyojengeka kwenye jamii.
 
I have no doubt in my mind that CUF is driven through Islamic Sentiments through and through. I once witnessed demonstrations where men with beards and Kanzus were walking ahead of women wrapped with Kanga. It was obvious that they were following Islamic way of doing things which implies non Muslims were not considered as part of the demonstration.
 
Kwani kuvaa kanzu na kanga kwa mwanamke ndio sababu?Mbona Dr.Slaa huvaa kanzu na msalaba? Acheni kuchanganya mambo mnazidi kuwapoteza watanzania.
View attachment 66436 298485_494086423936495_1301878361_n.jpg
 
Back
Top Bottom