Lipumba: CCM na Chadema hawaiwezi rushwa!

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,401
Reaction score
3,641
Amesema hayo mkoani morogoro ambapo amedai kua ccm na chadema ni vyama vilivyojaa mafisadi hivyo havina uwezo wa kupambana na rushwa amesema cuf ndio chama sahihi kupinga ufisadi nchini.
 
Hivi li pumba ni wachama gani vile ¡¿
 
Amesema hayo mkoani morogoro ambapo amedai kua ccm na chadema ni vyama vilivyojaa mafisadi hivyo havina uwezo wa kupambana na rushwa amesema cuf ndio chama sahihi kupinga ufisadi nchini.
Kasema hivyo kwasababu kafanikiwa kuasi na kuchota ile ruzuku au.........?
 
Dah. Hi tanzania jamani. Yani kabiga mpunga anaibukia kwenye media kutafta sifa na kujionesha kuwa yeye msafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…