Kichwa chawa
Senior Member
- Jan 16, 2015
- 109
- 14
We ndo uchwara, sasa huamini km chadema wako ni wafanya biashara na wamekumbatia rushwa? Km hujui muulize mdhamini wao mengi.Prof. Uchwara, with his education what did he do during his tenure as President Mwinyi advisor? au kunywa gahawa tu na majungu, mtu wa majungu utamuona tu, whom does he fight? Deep Green au CDM?
Wakti siku zote hutoa nafasi ya kujua nani yuko upande gani.
Hebu fikiria chama fulani cha upinzani kingepata ushindi mika 5 iliyopita unategemea kungekuwa na mabadiriko ya maana kama mtu na PhD yake ana upeo finyu namna hii wa kujenga chama chake kwa kukumbatia Chama tawala kilichoshindwa??
Wakati siku zote hufichua watu waovu wenye hila nia mbaya ya kuendelea kutweza Watanzania makali ya maisha.
Yaani huyu Senior Bachelor Muhuni asiye na mke anaongea kama kaahidiwa demu bomba na CCM??
Kutumia muda mwingi Kushambulia chama cha CDM wakati Uovu wote Tanzania unafanywa na Serikali ya CCM inasaidia vipi kuwapa mwamko wananchi wa Tanzania?
CUF inapambana na CDM ili kutwaa madaraka yapi wakati CDM iko bench kama wao?? Au inapambana na CCM huku ikipinga yenyewe binafsi kama chama kwani ina hisa za ndani kwa ndani huko CCM??
Lakini hata hivyo CUF ime sign mkataba wa kiuchumi na kisiasa na chama cha CCM kwa kipindi cha miaka 5, CUF kuwashambulia CCM ni sawa na kuishambulia CUF yenyewe. Kwa vile ni lazima wanasiasa wa CUF kukishambulia chama fulani wakati wa mikutano ya kisiasa ili kuvuta hisia za wananchi kisiasa, CUF wanaona ni vema kukishambulia CDM ili kupoza hasira ya kukataliwa ndoa ya wake wawili.
huu ndo muungano wa ukawa eti.!
Hii thread ni ya 2011 mkuu.
Soma pale juu uone siku na tarehe ilipopostiwa.
Acha uoga. Hii habari ni ya miaka mi4 ilyopita. Ndiokusema umeishiwa hoja hadi unapasha moto kiporo kilicho chacha??. Ukawa ndio dawa yenu.
Ruthuku ni tatizo kubwa kwa vyama vya upinzani Tanzania. Ukombozi na sera ya mabafiliko yakiuchumi naiona kwa ACT tu.
Na Benedict Kaguo, Pangani
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakina nia thabiti ya kupambana na ufisadi kutokana kuchochea mgawanyiko wa Watanzania.
Alisema chama chochote cha siasa kilichoshindwa kuthamini matakwa ya wananchi wake hakina nia ya dhati ya kuwaletea ukombozi wa kweli wanaouhitaji Watanzania kwa sasa.
Profesa Lipumba alitoa kauli hiyo wakati akihutubia mkutano wa hadhara katika mji wa Pangani katika mwendelezo wa mikutano ya chama hicho 'kuwazindua Watanzania katika kujenga demokrasia ya kweli hapa nchi'.
Alisema wafanyabiashara wa Chadema hawawezi kuongoza mapambano dhidi ya ufisadi kwa kuwa tayari wako katika mazingira ya kukumbatia rushwa, hivyo ni vigumu wao kuongoza mapambano hayo kama wanavyodai.
Ndugu zangu wafanyabiashara na wapiga disko wa Chadema wanataka kuwang'oa mapapa ya ufisadi wa CCM ili wao manyangumi ya ufisadi waweze kuingia madarakani, hawana nia thabiti ya kupambana na rushwa, alisema Profesa Lipumba.
Alisema aliingia kwenye siasa kwa lengo la kuwasaidia Watanzania sio kutafuta sifa kama walivyo baadhi ya wanasiasa wa Chadema.
"Sikuingia kwenye siasa kutafuta sifa, nimeingia kutumia elimu yangu kuwatafutia ukombozi Watanzania wenzangu, sasa hawa Chadema hawawezi kuiondoa CCM kwa kuwa wanachochea mgawanyiko mkubwa ndani ya nchi kwa kuwatukana Wanzanzibari waliokubali Serikali ya Umoja wa Kitaifa, alisema Profesa Lipumba.
Awali, Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Bw. Julius Mtatiro alisema taifa linaangamia kwa kukosekana uongozi ulio madhubuti sasa ni wakati wa Watanzania kuzinduka ili uchaguzi mkuu ujao waweze kukipa ridhaa chama makini cha CUF.
Maisha yamekuwa ya kubabaisha huduma za afya hospitalini mama zangu mnatakiwa mwende na nyembe mnapotaka kujifungua, serikali inashindwa kununua wembe lakini wakati wa uchaguzi inaweza kununua kitenge kwa kila mwanamke Tanzania nzima, alisema Bw. Mtatiro.
Alisema wakati wa mabadiliko ndio huu na wananchi hawana budi kukiunga mkono chama hicho ili kiweze kuongoza mapambano dhidi ya rushwa, matumizi mabaya ya fedha za umma ili kuwakomboa wananchi.
Kumbe wapuuzi mnafukua makaburi
Post ya mwaka 2011 mnaibaka mwaka huu?
Hahahahahaaaaaa
Kweli nimeamin nyan haoni kundule . Mbona thread za ZITTO nyingi to za 2009 mnazichimba na kuziweka hapa ilimpate hitajio lenu
Hawa ndio wanakazania tuunde nao baraza kivuli... kweli hii nchi kila mtu kamuoa mwenzie ....
Hawa CUF sio watu kabisa..,....Hawa jamaa hawafai kabisa na inabidi CHADEMA wakae nao mbali kabisa maana hawana mpango........Vigeu geu kama watoto
Hayo ndo matatizo ya ndoa ya mkeka kati ya CCM na CUF
Nina wasi wasi na Phd yake, sidhani kama anastahili kuitwa associate professor, sasa tumegundua kumbe siyo CCM tu ndiyo adui wa waTanzania ni pamoja na na hivi vyama vya ovyo ovyo kama CUF
CUF ni makahaba wa kisiasa, wapuuzwe tu kama changu doa wengine, wala viongozi wa CDM wasihangaike kujibu ----- wa Lipumba.Kila mwenye akili anajua CUF ni wakala wa CCM.
Tujifunze kuweka akiba ya meneno!