Kila iitwapo leo nazid kushuhudia ushndi wa CDM, si ajabu Mkwere akasimama na kultangazia taifa kua sasa mim nimechoka kuongelewa, haya CDM ingien ikulu tuone bas kama mtaiweza nchi hii! Hivi niulze, mbona vyama hv vngne vmeishikia bango CDM, wanaiongea km vle ndo ipo madarakani! Jamen ccm A na ccm B juen kuwa CDM ipo bench, ila tu inajianda kuchukua nafas yake pale mnapokwenda kufa, nachowaomben waachien nafas ikiwa bado ina ahuen kdg, msiharb jamen. Bt endeleen kuipigia campen CDM uku mkiendelea kulhudumia taifa vzr coz mkijisahau tutawazukia huko huko coz HATUSHINDWI!