Lipumba asema Maalim Seif amewasaliti Wazanzibar na watanzania. Adai kuacha chama sio suluhisho

Prof. Lipumba ni nahodha wa kwanza duniani kuamua ku "abandon ship" akiwacha crews na abiria wake wakihangaika kujiokoa wenyewe.

Baada ya kugundua kuwa abiria na crews wamefanikiwa kujiokoa na wako salama, mnyamwezi akarudi tena melini kwa staili ya kutengua "abandonment" yake!
 
Bado atafaidi ruzuku ya CUF mpaka uchaguzi ujao. Wewe huoni amecheza karata sawa.
 
Jamaa hapaswi kabisa kusema maneno haya,maana muda si mrefu alisema kuwa maalim Sefu na wenzake inabidi wafukuzwe chamani.Sasa chakushangaza the same person analalamika ni kwanini maalim Sefu amehama chama! Heri kufa ukiwa umeacha fikra hai kuliko kuishi ukiwa na fikra zilizokufa.

Ni kweli mkuu.Lipumba hapa kachemsha
 
Kweli unaweza kuwa kichwa kwa academics lakini kwingine 0. Prof. Kwa nini ang'ang'anie chama.walichoanzisha wengine. Angekuwa genius wa siasa angeanzisha cha kwake!!
 
Inasikitisha mno kufahamu eti mtu huyu aliwahi kuwa mshauri wa rais,no wonder tumeishi katika umaskini miaka yooote hii
 
Akiongea na DW Swahili mwenyekiti wa CUF kitendo Cha Maalim selif Shariff Hamad kuamia ACT Wazalendo Ni kuwasaliti Wazanzibar na wantazania kwa Ujumla kwa sio suluhisho la matatizo yaliyopo.
View attachment 1049898

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani si amesema amemfukuza? Huyu sasa anamfuatilia nini maalim na kampa chama
IMG-20190319-WA0033.jpeg
FB_IMG_1553091994945.jpeg
FB_IMG_1553071340763.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Profesele ni sawa na mwanamke aliyeomba talaka kwa chokochoko zake,haeishi kulalamika ukumtaka maalimu huyo umemuondoa kwa msaada wa ccm na msajili kwanini waweweseka si usubiri teuzi tu.Huna faida kwao Ccm watakutupa,ulishauriwa kaeni chini muyamalize ukusikia Leo mmegawana fito we baki na chama mwenzio kaondoka na wanachama,
Kapewa zote fito

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom