Ndugu zangu Jpm alitangaza watanzania tuache siasa maana sasa ni kazi tu kwa kauli yake ya hapa kazi tu lakini ccm wanaonekana kubeba mzigo Wa mgogoro Wa CUF kwenye mikutano ya ndani na nje anayoendelea Nayo mwenyekiti Wa CUF anayetambuliwa tu na msajili Wa vyama vya siasa mikutano yake inalindwa lakini Jana tu polisi wakazuia mikutano ya maalim sef Sharif hamadi je ,who is lipumba in Ccm?