mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,253
Lipumba ndani ya ccm anasikika sana kuliko kinana huenda akawa katibu mkuu
Ni mshauri mkuu wa Mwenyekiti wa CCMNdugu zangu Jpm alitangaza watanzania tuache siasa maana sasa ni kazi tu kwa kauli yake ya hapa kazi tu lakini ccm wanaonekana kubeba mzigo Wa mgogoro Wa CUF kwenye mikutano ya ndani na nje anayoendelea Nayo mwenyekiti Wa CUF anayetambuliwa tu na msajili Wa vyama vya siasa mikutano yake inalindwa lakini Jana tu polisi wakazuia mikutano ya maalim sef Sharif hamadi je ,who is lipumba in Ccm?
Lipumba kwa sasa ni uchochoro wa kupitishia pesa za Dili kwa kisingizio kuwa zimetumika kudhoofisha upinzaniNi mwenyekit wa kuvuruga vyama vya upinzan
Lipumba ni msaidizi wa kinana pia ni mshauri mkuu wa Mwenyekiti wa CCM.Ni kweli , amechukua nafasi ya Nape aliyehamishiwa wizarani , lakini wadau wa lumumba wamedokeza kwamba pia ni mshauri wa uchumi wa ccm , wanamtumia kufufua mashirika yaliyokufa ikiwemo SUKITA na Gazeti la uhuru .
Ndugu zangu Jpm alitangaza watanzania tuache siasa maana sasa ni kazi tu kwa kauli yake ya hapa kazi tu lakini ccm wanaonekana kubeba mzigo Wa mgogoro Wa CUF kwenye mikutano ya ndani na nje anayoendelea Nayo mwenyekiti Wa CUF anayetambuliwa tu na msajili Wa vyama vya siasa mikutano yake inalindwa lakini Jana tu polisi wakazuia mikutano ya maalim sef Sharif hamadi je ,who is lipumba in Ccm?
Kwa sasa amewageuza CCM buzi la kuchuna PesaBwana yule
Na kula pesa za CCM kwa njia Haramu kwa kazi Haramu.Ni mwenyekit wa kuvuruga vyama vya upinzan
Hhahhaha so jamaa msumeno?Kwa sasa amewageuza CCM buzi la kuchuna Pesa
Aahhhahaaa yy tena ndo mwenyekiti wa mgao....Hata ile 10m alipata.
HahaaLipumba ni katibu mwenezi wa CCM
Hata kama mimi siyo mwanasiasa ila nachojua mpinzani wa nusu ukweli ni Lipumba na Dr Slaa basi.Ndugu zangu Jpm alitangaza watanzania tuache siasa maana sasa ni kazi tu kwa kauli yake ya hapa kazi tu lakini ccm wanaonekana kubeba mzigo Wa mgogoro Wa CUF kwenye mikutano ya ndani na nje anayoendelea Nayo mwenyekiti Wa CUF anayetambuliwa tu na msajili Wa vyama vya siasa mikutano yake inalindwa lakini Jana tu polisi wakazuia mikutano ya maalim sef Sharif hamadi je ,who is lipumba in Ccm?