Usijali imeandikwa kwenye vitabu vya dini hivi: Siku moja j2 asubuhi sana msafiri mmoja alivamiwa na wezi akaumizwa sana wakapita watu wa dini hawakumsaidia kwa kuogopa najisi ya damu kwa sababu alitapakaa damu ila aliokolewa na msamaria mwema tu. Kwa hiyo walioenda kumwona mgojwa ni wasamaria mungu awalinde na awazidishie busara.