TANZANIA NAKUPENDA
Senior Member
- Mar 28, 2013
- 100
- 97
CC kahtaniTeam UDINI hawatafurahia hii habari!
Very Good, apone upesi.
Profesa Ibrahim Lipumba,mchana wa Leo tarehe 30/03/2015, amemtembelea Askofu Josephat Gwajima aliyelazwa TMJ Hospital.
Amefurahi kuona hali yake inazidi kuimarika na ameshatoka kwenye wodi ya wagonjwa mahututi,(ICU).

Team UDINI hawatafurahia hii habari!