ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,362
- 4,125
gundu unalo wewe Lipumba alijiuzulu kwa sababu mawazo yake aliona hayasikilizwi .Subir sasa kuhusu viti maalumu na ruzuku ndio utajua Lipumba alimaanisha nini.
shuwain mwenyewe paka .Kumbe unachangia kisichokuhusuWewe shuwain nitolee gundu lako hapa mfyuuu viti maalumu vyanihusu nini Mimi na maruzuku yao
shuwain mwenyewe paka .Kumbe unachangia kisichokuhusu
Mxiiiiiiiew paka la bar
Paka hanywi pombe wewe paka la hoteli unasubiri makombo .umeshindwa hoja unkimbila maatusi wakati yapo kitandani naona ndo unapopataka huko
Kwa taarifa yako Lipumba ni mwanachama wa cuf na anaingia katika vikao kama mwenyekiti mstaafulipumba akipewa uongozi au akiruhusiwa kurudi CUF najiunga CCM Rasmi utakua ni kutufanya wajinga sie wananchi
miaka yote hiyo 20 hakukuwa na muungano kama huu wa ukawana pia Kumbuka kwamba UKAWA ilisisiwa na Lipumba na kama vigezo vya ukawa vingefuatwa tungepata zaidi ya majimbo 100 .Na ukawa wangetoa waziri mkuunaona anajikaza tu lakini ameumbuka. yeye amekaa miaka 20 kama mwenyekiti ameambulia wabunge 2 tu!!!. alivyotoka 10
Mfyuuuuuuuuu zako
thaanteeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!Mfyuuuuuuuuuu😎
Mxiiiiiiiew paka la bar
Hivi mna JINSI ipi nyie?
Lipumba alikimbia kipindi cha kulima leo siku ya mavuno anajipendekeza.