Amri kutoka juuu iko juu kuliko ya mahakama.Lipumba ameitisha Mkutano Mkuu Maalum March 12 utakaoifanyia marekebisho ya Katiba ya CUF. Pia watafanya Mkutano Mkuu wa kawaida March 14 utakaofanya uchaguzi.
Ikumbukwe kuwa Feb. 28 Mahakama Kuu ilitoa zuio kwa CUF Lipumba kutofanya Mkutano Mkuu mpaka kesi za msingi zitakapoamuliwa. Hii si kudharau mahakama? na kwanini mahakama isimchukulie hatua za kisheria.
Mkutano mkuu hauitishwi na lipumbaKosa walilolifanya timu seif ni kudili na lipumba wamefungua kesi mahakamani kumzuia lipumba asiendelee na mkutano mkuu wa chama wala kuitisha uchaguzi mkuu mbaka kesi za msingi zitakapokwisha mahakamani
Wao wamemzuia lipumba kama lipumba lakini wameshindwa kuisoma katiba yao wenyewe ukimzuia lipumba asifanye chochote haujazuia chama kisifanye chochote ndio maana leo serikali ya tanzania ina kesi kibao ndani na nje ya nchi lakini hakuna kesi inayosema Tanzania isifanye chochote mbaka kesi zitakapo kwisha
Ukimzuia lipumba na sakaya pamoja na ngole wengine wapo wanafanya hakuna zuio la chama kisifanye mkutano mkuu bali kama ni zuio basi linamuhusu lipumba kama lipumba usicheze na sheria wewe na tafsiri zake ukijua ili wenzako wanajua lile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkutano mkuu hautishwi holela na mtu yeyote.Kosa walilolifanya timu seif ni kudili na lipumba wamefungua kesi mahakamani kumzuia lipumba asiendelee na mkutano mkuu wa chama wala kuitisha uchaguzi mkuu mbaka kesi za msingi zitakapokwisha mahakamani
Wao wamemzuia lipumba kama lipumba lakini wameshindwa kuisoma katiba yao wenyewe ukimzuia lipumba asifanye chochote haujazuia chama kisifanye chochote ndio maana leo serikali ya tanzania ina kesi kibao ndani na nje ya nchi lakini hakuna kesi inayosema Tanzania isifanye chochote mbaka kesi zitakapo kwisha
Ukimzuia lipumba na sakaya pamoja na ngole wengine wapo wanafanya hakuna zuio la chama kisifanye mkutano mkuu bali kama ni zuio basi linamuhusu lipumba kama lipumba usicheze na sheria wewe na tafsiri zake ukijua ili wenzako wanajua lile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli , maana Mahakama iko mfukoni mwa Jiwe , anaamuru tu atakavyoMkutano Mkuu lazima uitishwe na MWENYEKITI, au yeyote anaiyekaimu nafasi hiyo.
Lipumba ameitisha Mkutano Mkuu Maalum March 12 utakaoifanyia marekebisho ya Katiba ya CUF. Pia watafanya Mkutano Mkuu wa kawaida March 14 utakaofanya uchaguzi.
Ikumbukwe kuwa Feb. 28 Mahakama Kuu ilitoa zuio kwa CUF Lipumba kutofanya Mkutano Mkuu mpaka kesi za msingi zitakapoamuliwa. Hii si kudharau mahakama? na kwanini mahakama isimchukulie hatua za kisheria.
Swali la nyongeza mtaalamu ; Ni nani mwenye mamlaka kamili ya kuitisha mkutano mkuu? Naomba jibu tafadhali maana sheria sisi wa mafichoni tunazisikia kutoka kwenu.Kosa walilolifanya timu seif ni kudili na lipumba wamefungua kesi mahakamani kumzuia lipumba asiendelee na mkutano mkuu wa chama wala kuitisha uchaguzi mkuu mbaka kesi za msingi zitakapokwisha mahakamani
Wao wamemzuia lipumba kama lipumba lakini wameshindwa kuisoma katiba yao wenyewe ukimzuia lipumba asifanye chochote haujazuia chama kisifanye chochote ndio maana leo serikali ya tanzania ina kesi kibao ndani na nje ya nchi lakini hakuna kesi inayosema Tanzania isifanye chochote mbaka kesi zitakapo kwisha
Ukimzuia lipumba na sakaya pamoja na ngole wengine wapo wanafanya hakuna zuio la chama kisifanye mkutano mkuu bali kama ni zuio basi linamuhusu lipumba kama lipumba usicheze na sheria wewe na tafsiri zake ukijua ili wenzako wanajua lile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiharalishe nguruwe kuwa mbuzi.Kosa walilolifanya timu seif ni kudili na lipumba wamefungua kesi mahakamani kumzuia lipumba asiendelee na mkutano mkuu wa chama wala kuitisha uchaguzi mkuu mbaka kesi za msingi zitakapokwisha mahakamani