Lipumba ameitisha Mkutano Mkuu Maalum March 12 utakaoifanyia marekebisho ya Katiba ya CUF. Pia watafanya Mkutano Mkuu wa kawaida March 14 utakaofanya uchaguzi.
Ikumbukwe kuwa Feb. 28 Mahakama Kuu ilitoa zuio kwa CUF Lipumba kutofanya Mkutano Mkuu mpaka kesi za msingi zitakapoamuliwa. Hii si kudharau mahakama? na kwanini mahakama isimchukulie hatua za kisheria.