Lipumba adharau zuio la Mahakama, aitisha Mkutano Mkuu tarehe 14 Machi.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
19,422
2,000
Lipumba ameitisha Mkutano Mkuu Maalum March 12 utakaoifanyia marekebisho ya Katiba ya CUF. Pia watafanya Mkutano Mkuu wa kawaida March 14 utakaofanya uchaguzi.

Ikumbukwe kuwa Feb. 28 Mahakama Kuu ilitoa zuio kwa CUF Lipumba kutofanya Mkutano Mkuu mpaka kesi za msingi zitakapoamuliwa. Hii si kudharau mahakama? na kwanini mahakama isimchukulie hatua za kisheria.
 
MAGALEMWA

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
6,236
2,000
Nguvu ya Dola siyo mchezo. Tusubiri mchezo unavyoendelea. Utalindwa na jeshi la polisi ufanyike.
 
Isa khamisi

JF-Expert Member
Mar 9, 2017
431
500
Lipumba ameitisha Mkutano Mkuu Maalum March 12 utakaoifanyia marekebisho ya Katiba ya CUF. Pia watafanya Mkutano Mkuu wa kawaida March 14 utakaofanya uchaguzi.

Ikumbukwe kuwa Feb. 28 Mahakama Kuu ilitoa zuio kwa CUF Lipumba kutofanya Mkutano Mkuu mpaka kesi za msingi zitakapoamuliwa. Hii si kudharau mahakama? na kwanini mahakama isimchukulie hatua za kisheria.
Amri kutoka juuu iko juu kuliko ya mahakama.
 
kandamatope

JF-Expert Member
May 19, 2018
536
1,000
Kosa walilolifanya timu seif ni kudili na lipumba wamefungua kesi mahakamani kumzuia lipumba asiendelee na mkutano mkuu wa chama wala kuitisha uchaguzi mkuu mbaka kesi za msingi zitakapokwisha mahakamani

Wao wamemzuia lipumba kama lipumba lakini wameshindwa kuisoma katiba yao wenyewe ukimzuia lipumba asifanye chochote haujazuia chama kisifanye chochote ndio maana leo serikali ya tanzania ina kesi kibao ndani na nje ya nchi lakini hakuna kesi inayosema Tanzania isifanye chochote mbaka kesi zitakapo kwisha

Ukimzuia lipumba na sakaya pamoja na ngole wengine wapo wanafanya hakuna zuio la chama kisifanye mkutano mkuu bali kama ni zuio basi linamuhusu lipumba kama lipumba usicheze na sheria wewe na tafsiri zake ukijua ili wenzako wanajua lile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uungwana vitendo

JF-Expert Member
Nov 20, 2013
1,313

Mkutano mkuu hauitishwi na lipumba
 
Mkutano mkuu hautishwi holela na mtu yeyote.
 
Kichakoro

JF-Expert Member
Sep 10, 2008
2,355
2,000
Mkutano Mkuu lazima uitishwe na MWENYEKITI, au yeyote anaiyekaimu nafasi hiyo.
 
BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,051
2,000
Itakuwa kapata baraka za ule mhimili uliojichimbia zaidi. Ule hauna mipaka!
 
GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,381
2,000
Jeshi la police kazi moja wapo ni kutelekeza amri za mahakama, kama jeshi la police lita muangalia lipumba tu na kufanya mikutano, hapo lazima mambosasa awajibike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
97,939
2,000
Lipumba ameitisha Mkutano Mkuu Maalum March 12 utakaoifanyia marekebisho ya Katiba ya CUF. Pia watafanya Mkutano Mkuu wa kawaida March 14 utakaofanya uchaguzi.

Ikumbukwe kuwa Feb. 28 Mahakama Kuu ilitoa zuio kwa CUF Lipumba kutofanya Mkutano Mkuu mpaka kesi za msingi zitakapoamuliwa. Hii si kudharau mahakama? na kwanini mahakama isimchukulie hatua za kisheria.

Ndiyo ujue hapo mchezo mzima wa kuivuruga cuf ulivyokuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,436
2,000
Kosa walilolifanya timu seif ni kudili na lipumba wamefungua kesi mahakamani kumzuia lipumba asiendelee na mkutano mkuu wa chama wala kuitisha uchaguzi mkuu mbaka kesi za msingi zitakapokwisha mahakamani

Wao wamemzuia lipumba kama lipumba lakini wameshindwa kuisoma katiba yao wenyewe ukimzuia lipumba asifanye chochote haujazuia chama kisifanye chochote ndio maana leo serikali ya tanzania ina kesi kibao ndani na nje ya nchi lakini hakuna kesi inayosema Tanzania isifanye chochote mbaka kesi zitakapo kwisha

Ukimzuia lipumba na sakaya pamoja na ngole wengine wapo wanafanya hakuna zuio la chama kisifanye mkutano mkuu bali kama ni zuio basi linamuhusu lipumba kama lipumba usicheze na sheria wewe na tafsiri zake ukijua ili wenzako wanajua lile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali la nyongeza mtaalamu ; Ni nani mwenye mamlaka kamili ya kuitisha mkutano mkuu? Naomba jibu tafadhali maana sheria sisi wa mafichoni tunazisikia kutoka kwenu.
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
21,703
2,000
Kosa walilolifanya timu seif ni kudili na lipumba wamefungua kesi mahakamani kumzuia lipumba asiendelee na mkutano mkuu wa chama wala kuitisha uchaguzi mkuu mbaka kesi za msingi zitakapokwisha mahakamani

Wao wamemzuia lipumba kama lipumba lakini wameshindwa kuisoma katiba yao wenyewe ukimzuia lipumba asifanye chochote haujazuia chama kisifanye chochote ndio maana leo serikali ya tanzania ina kesi kibao ndani na nje ya nchi lakini hakuna kesi inayosema Tanzania isifanye chochote mbaka kesi zitakapo kwisha

Ukimzuia lipumba na sakaya pamoja na ngole wengine wapo wanafanya hakuna zuio la chama kisifanye mkutano mkuu bali kama ni zuio basi linamuhusu lipumba kama lipumba usicheze na sheria wewe na tafsiri zake ukijua ili wenzako wanajua lile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiharalishe nguruwe kuwa mbuzi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom