Lipo la kujifunza

SIR MGAX

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2023
Posts
1,337
Reaction score
2,287
Wanachama mwenzangu ambao mmepigwa ban kwanza poleni sana kwa changamoto hiyo,haiumizi ila inashangaza kiasi…nadhani pia ni muda wenu kutafakari kidogo kuhusu kupigwa kwenu ban.

Imagine mwanangu sana Binti wa zamani ulitaka kunisalimia leo halafu ghafla bin vuu,upepo umepita na chaukucha(steam lazma ziongezeke)ila hakuna jinsi.

Kikubwa mtarudi hivyo msiwaze haya ni mambo ya mitandao tu.
 
Bahati nzuri ni kuwa huyo hajapigwa ban.

Huyo akipigwa ban kama la wiki mbili bila kuandika humu akirudi anaweza kutupigisha nyeto members wote humu jukwaani maana sio kwa upwipwi anaoweza kuja nao

Cc Mbaga Jr
Nani huyo😂😂😂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…