nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,034
- 900
203?Supersport 3
Tafsiri mzee
203?
Hio haipo kwenye kifurushi cha elfu 19
Kama hivyo sawa.Sina uhakika kuwa kunarushwa mechi ya UEFA 203, ila kwenye kifurushi cha 19000/- (Bomba) ni kweli hiyo channel huwa inaonekana.... kwa siku 7 tangu ulipie sasa itokee kuna mechi ndani ya siku hizo.