Lipi ni sahihi?

Nakuungamia Mungu mwenyezi, nanyi ndugu zangu kwani nimekosa nimekosa mno, kwa mawazo, kwa vitendo na kutotimiza wajibu.
 
swali la kizushi .hizo dawa zikimzulu huyo mwanao inakuaje ?
 
swali la kizushi .hizo dawa zikimzulu huyo mwanao inakuaje ?
Tiba IPO hata wao hao wachokozi iwapo wakashituka mapema wakati kabla maut haijawakuta naweza waponesha, I create a problem
swali la kizushi .hizo dawa zikimzulu huyo mwanao inakuaje ?
Tina IPO japo sitarajii kumuhusisha mtoto na matatizo ya mgogoro wake, yy atabaki kuwa safe
 
WEWE JAMAA AKILI HAUNA HATA KIDOGO, NI LOFA ULIYEPITILIZA MPAKA. NA KAMA UMESOMA BASI ULIFELI DARASA LA NNE UKAKAA BENCHI, ALIYEKUAMBIA MATATIZO YANATATULIWA NA UCHAWI NANI? UJINGA HUO HATA SIYO UJANJA JAMAA, BADILIKA SIYO KILA JAMBO UNAKIMBILIA KWA WAGANGA..
HALAFU UNAONEKANA HATA IMANI YA MUNGU HUNA.. HUYO MTOTO NI WAKO NA ATAENDELEA KUWA WAKO (KAMA KWELI NI WAKO).. NJIA YA JUU YA KUTATUA MIGOGORO HYO NI MAHAKAMA ZA KISHERIA.
 
Sasa nimeng'amua kwanini unanyimwa mwanao.
 
achana na hizo fikra boss,,,, mtoto ni wako vita za nini.....una mke mwingine piga kiki apate kibendi......
 
Walipue wenzio alafu uone kitachokutokea mbele! Hivi mpaka leo watu mnawaza na kuroga tu?
 
Tiba IPO hata wao hao wachokozi iwapo wakashituka mapema wakati kabla maut haijawakuta naweza waponesha, I create a problem

Tina IPO japo sitarajii kumuhusisha mtoto na matatizo ya mgogoro wake, yy atabaki kuwa safe
bas sawa mkuu ila ni hatari kwa afya yako
 
Acha ushirikina jamaa hauna faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…