Lipi ni sahihi?

Hata wewe hauko salama,maisha ya duniani ni mafupi sana,amini na umpe maisha yako Yesu,naye atafanya jambo juu ya mwanao.
Usihukumu,mwenye uwezo wa kuhukumu ni Mungu pekee.
Be strong!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana...
Ubaya haulipwi kwa ubaya...
Tumia akili na umakini kwenye kutatua mambo yangu... Kila kitu kitakunyokea....


Cc: mahondaw
 
Ndo maana unanyimwa mtoto.
 
Achana na mambo ya kichawi na kishirikina. Kwa ni umemaliza mbegu za uzazi hadi ujihangaishe hivyo si uzae na huyo ulonae.
Mtoto wako atajua ukweli akiwa mkubwa atakutafuta tu, endelea kumuombea kwa Mungu akue Vizuri na akukumbuke ,tupa hizo takataka za mganga wako choma kabisa .
 
Siku zote ukiishi huku ukiamini utakufa bas itaishi kwa nidhamu sana ila bahat mbaya ambao bado hatujafa weng tunaamin kwamba kwa upande wetu bado sana mpka siku ya kifo,hapo ndio kosa linapokuja,yaan tunaamini tutaish muda mref sana,,unajuaje ukianza kufa wewe?
 
Na wasiwasi na upendo wako kwa mwanao bora alivyochukuliwa tu huko yupo salama
 
Ushauri mzuri
 
Mbona wapogolo hawana shida wee panda Gari ukifika watakupatia mtoto wako.
Acha kuuwa hao ndugu zangu Mwenyezi Mungu hapendi yakhe.
 
Mkuu mambo hayo acha kabisa fuata njia za kisheria tu si ushirikina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…