THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,922
- 13,494
I am just trying to think very very loud...
Even though majibu nayapata na naamua kubakia nayo mwenyewe lakim katika mengi ambayo nimeyawaza naona hili siwez kukaa nalo kwa kweli...
Ukiangalia movie hii katika kiwango cha high definition utakuja kubain kwamba kilichompelekea dumbman daudi bashite kuvamia na askari wenye mitutu kituo cha clouds media ni kule kukerwa kwake na Bishop Gwajima katika kumuumbua waz waz katika hili suala la umiliki wa vyeti vya wizi vya form four na kufoji jina hadi kupelekea yeye kuaminika na kufika hapo alipofika leo ingawa hakustahili na hastahili kuwepo hapo...
Hakuna kingine kilichomfanya bashite afanye uvamiz ule kama siyo kukerwa na yeye kutaka kurudisha mashambulizi ya kipuu.z kwa kutengeneza ile video ambayo aliitengeneza na kuwataka clouds wairushe kwa nguvu ya mtutu wa bunduki...
Hebu sasa jiulize...kama. kweli bwana huyu si daudi bashite...na kama kweli kwamba bwana huyu hakuiba vyeti na kufanya forgery ya jina..alishindwa nin kwenda clouds media kama kituo chao pendwa yeye na boss wake kuliweka waz hilo?
Alishindwa nin kubeba vyeti vyake na kwenda navyo clouds hadi afikie hatua ya kutengeneza video ya kitoto namna ile na kubeba bunduki kuilazimisha iende hewan?
Hakuna shaka kabisa kwamba daudi bashite ni form four failure...hakuna shaka kabisa kwamba daudi bashite amefoji jina na kujiita paul makonda kwa sababu logic ya kawaida kabisa inajieleza yenyewe.
Ipi ni kaz kubwa baina ya kubeba vyeti vyako halisi ukaenda navyo clouds media asubuh na mapema na kutolea clarification kama kweli umeudhika na kuchukizwa na ile ya kubeba askari
wenye mitutu usiku wa manane na kuenda nao clouds kulazimisha fake video irushwe ili kujibu mashambulizi kwa Bishop Gwajima?
Kwa hali ilipofikia huyu daudi bashite ameshajivua nguo..na yule anaempigia kifua bila shaka aibu kama hii haiwez kumkwepa lazima imwangukie moja kwa moja...na kwa sababu lililofanyika ni jambo la fedheha na lililowaz kabisa.
Kuendelea kumkumbatia daudi bashite pamoja na uozo wote huu siyo kipimo cha uongozi imara na unaosimamia misimamo ya kutoyumbishwa na whistle blowers...la hasha...
Kumkumbatia daudi bashite ni ishara ya kupotoka na kukosa weledi wa kiuongozi.
Kumkumbatia daudi bashite ni dalili inayoonesha kwamba uongozi hiv sasa umekosa miiko na mipaka..bimaana kwamba yeyote yule hata kama ni chizi anaweza kuwa kiongoz ili mradi tuh mamlaka ya uteuz wake imeamua iwe hivyo...
Bahati mbaya sana mamlaka hiyo inasahau kuwa gharama zao na mishahara yao tunalipa sisi kutokana na kodi zetu...kwa ufupi sisi ndiyo maboss wao...na wanapaswa kusikiliza tunachowaeleza.
Daudi Bashite Huna Mwisho Mzuri.