Yah!! Ni kweli, nami ngoja niwahi ibadani, kwaresima kwa wale wanaojua majira tuelekee twachie keyboard sasa, ni wakati uliokubalikaWOS,
Hapa sasa week end yangu umeanza kuharibika. Mke asiye na hatia anateketea na watoto wanaitwa OVCs. Very sad indeed! Tuendelee J3, ngoja niwahi wanangu!
NDOA can lead you to your grave mapemaaaaa!
its a shame that we are living in a world full of uozo!
I could tell you more of such tales utaumia!
labda kwa kuwaonyesha kiwango cha uharibifu.... another case,... a 15 year old boy kawekwa kinyumba na kigogo mmoja mwenye wadhifa mkubwa. Mtoto keshaathirika....na anajua kaathirika....hasomi wala haoni sababu ya kwenda shule maana kwenye bank account an 5 m.( to him its a lot!)..amepangiwa nyumba iko fully furnished... anavalishwa expensively.... ila ( listen/read gud here!!) when the kigogo is away kasafiri..the boy cheats with other men..and he feels no sorry kama wataambukizwa maana yeye naye kaambukizwa!.... jamani..halafu kuna watu wanadhani uozo huu siyo ishu... watu hao nao wana wake zao.... fikiria una mume ..kampitia kijana huyu..kisha anakurudia nyumbani... no wonder wanawake wako radhi kujua hali zao za afya kwa kupima mara kwa mara...
kwa kweli vitu ulivyoelezea hapa vimenifanya nishindwe hata kuendelea kula jamani,natamani nisiolewe wala nisiszae maana imagine una mtoto wako anafanyiwa haya... au mume wako unagundua kuwa ni shoga...ningekufa mie mwenzenu..na wala nisingeweza kuishi naye tena maana ningemuonea kinyaa..nasikia kulia mie mwenzenuuu..dunia yetu inatisha jamani..watu tumekuwa na mioyo ya ajabu..dada kweli kazi yako ngumu..mie ningekuwa nalia hadi nashindwa kuwajibika...hivi tufanyaje ili tuzuie hivi vitendo jamaniii.its a shame that we are living in a world full of uozo!
I could tell you more of such tales utaumia!
labda kwa kuwaonyesha kiwango cha uharibifu.... another case,... a 15 year old boy kawekwa kinyumba na kigogo mmoja mwenye wadhifa mkubwa. Mtoto keshaathirika....na anajua kaathirika....hasomi wala haoni sababu ya kwenda shule maana kwenye bank account an 5 m.( to him its a lot!)..amepangiwa nyumba iko fully furnished... anavalishwa expensively.... ila ( listen/read gud here!!) when the kigogo is away kasafiri..the boy cheats with other men..and he feels no sorry kama wataambukizwa maana yeye naye kaambukizwa!.... jamani..halafu kuna watu wanadhani uozo huu siyo ishu... watu hao nao wana wake zao.... fikiria una mume ..kampitia kijana huyu..kisha anakurudia nyumbani... no wonder wanawake wako radhi kujua hali zao za afya kwa kupima mara kwa mara...
Kuna watu kama wawili hivi wenye shule za nyadhifa zao nawafahamu ambao ni mashoga wa kisiri siri. Wana pesa, familia, wake na watoto.
Sasa nauliza nyie wanawake. lipi bora ugundue kwamba mumeo anatembea nje ya ndoa na mwanamke mwingine, au ugundue kwamba mumeo ni shoga na anapumuliwa kisogoni kwa siri na wanaume wenzie?

kwa kweli vitu ulivyoelezea hapa vimenifanya nishindwe hata kuendelea kula jamani,natamani nisiolewe wala nisiszae maana imagine una mtoto wako anafanyiwa haya... au mume wako unagundua kuwa ni shoga...ningekufa mie mwenzenu..na wala nisingeweza kuishi naye tena maana ningemuonea kinyaa..nasikia kulia mie mwenzenuuu..dunia yetu inatisha jamani..watu tumekuwa na mioyo ya ajabu..dada kweli kazi yako ngumu..mie ningekuwa nalia hadi nashindwa kuwajibika...hivi tufanyaje ili tuzuie hivi vitendo jamaniii.
Enough WoS!its a shame that we are living in a world full of uozo!
I could tell you more of such tales utaumia!
labda kwa kuwaonyesha kiwango cha uharibifu.... another case,... a 15 year old boy kawekwa kinyumba na kigogo mmoja mwenye wadhifa mkubwa. Mtoto keshaathirika....na anajua kaathirika....hasomi wala haoni sababu ya kwenda shule maana kwenye bank account an 5 m.( to him its a lot!)..amepangiwa nyumba iko fully furnished... anavalishwa expensively.... ila ( listen/read gud here!!) when the kigogo is away kasafiri..the boy cheats with other men..and he feels no sorry kama wataambukizwa maana yeye naye kaambukizwa!.... jamani..halafu kuna watu wanadhani uozo huu siyo ishu... watu hao nao wana wake zao.... fikiria una mume ..kampitia kijana huyu..kisha anakurudia nyumbani... no wonder wanawake wako radhi kujua hali zao za afya kwa kupima mara kwa mara...
Kuna watu kama wawili hivi wenye shule za nyadhifa zao nawafahamu ambao ni mashoga wa kisiri siri. Wana pesa, familia, wake na watoto.
Sasa nauliza nyie wanawake. lipi bora ugundue kwamba mumeo anatembea nje ya ndoa na mwanamke mwingine, au ugundue kwamba mumeo ni shoga na anapumuliwa kisogoni kwa siri na wanaume wenzie?
Duh! Hii kali ya mwaka! Halafu ndio hao hao viongozi wetu tunaotegemea watajali maisha yetu na ya kizazi kijacho. Ndio maana US kiongozi akigundulika ana-cheat tu kwa mkewe wanamfukuza kazi!
Which other options would you suggest? 🙂
upi huo B??
Nimekumis......
Upande wa pili ndio upi huo? Fafanua!
upi huo B??
Nimekumis......
mbona ivo tena mnakuwa maslow learner jamani...Lols
hapo wamezungumziwa wanaume, from a woman's perspective,
sasa labda na siye wanaume tukifind out..kipi bora, umkute yuko lesbo ama na mwanaume mwengine? kipi bora apo nadhani noname alitaka option hiyo
mie nimelala sana leo haya ndo matokeo yake........