Mradi wa Mwendokasi unawashinda bus zipo chache abiria wengi wataweza kununua korosho vijijini kila mtu alipwe na kusiwe na manung'uniko? labda wachukue bure kwa kuwaita watu kangomba na majina mengine ili kufanikisha zoezi la kupora mali za watu...
Unauliza kutaka kujua au unabisha kuwa serikali haina mkono pale...
Swala la siasa ni gumu! Na lina hatua nyingi, na huna uwezo wa kudhibiti kupiga kura, kuhesabu, kutangaza matokeo, ni mtihani. Fuatilia chaguzi ndogo Arusha, liwale, n.k. utapata jibu.Walipoichagua ccm walijua wanawakomoa watanzania sasa hacha na wao wakomoke.
Mwanzo walidanganywa ktk gesi wakadanganyika na kuisupport ccm kisha wakadanganyika sasa koroshow, nadhani wasaliti hawa wa kusini wapambane tu na hali zao, sie wadanganyika wa kitambo watoto wetu tushapeleka shule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unauliza kutaka kujua au unabisha kuwa serikali haina mkono pale...
Bado tutaathrika sisi wananchi maskini, kwa kila hali.Uchochezi!
Ikiwexekana watafute njia nyingine, sio hii ya kuwaongezea umaskiniUkishambiwa tuna hakiki basi tambua inachukua miaka kadhaa kuhakiki tu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakulima sisi bado hatuwaelewi, na mashamba tunayo, kufika hawafiki, sijui wanajipanga?Jeshi linahakiki mashamba, sasa jiulize ni wanunuzi wa korosho au wanunuzi wa mashamba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ina mkono kwenye huo mradi wa mwendokasi ila sina uhakika ni asilimia ngapi maana mwanzoni ilikua ipo kiujanja ujanja kwa kuunganishwa kutokea UDA ila kwa sasa wanalifanyia kazi ili zijulikane hao ngapi na Serikali ngapi...
Hawa jamaa hawako kuwasaidia wako kuwakomoa tu!Ikiwexekana watafute njia nyingine, sio hii ya kuwaongezea umaskini
Wakulima sisi bado hatuwaelewi, na mashamba tunayo, kufika hawafiki, sijui wanajipanga?
Hilo halina mjadala, takwimu wanatoa wenyewe, na matamko ya kudhulumu korosho wanatamka.Tatizo la korosho hakuna anayesema ukweli, serikali wanasifu juhudi zilizokwisha kufanyika halafu huku tena wananchi nao wanapiga mayowe ya kudhulumiwa. Nani yuko sahihi