Y ydn JF-Expert Member Joined Nov 24, 2015 Posts 2,092 Reaction score 1,411 Feb 7, 2016 #2 Imenikumbusha wakati wa Kampeni watu walivyopigishwa push up!! Ok Jina litakuwa 'Bend Over Assembly of god'
Imenikumbusha wakati wa Kampeni watu walivyopigishwa push up!! Ok Jina litakuwa 'Bend Over Assembly of god'
AlP0L0 JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 7,077 Reaction score 5,908 Feb 7, 2016 #3 Kanisa la mugongo mugongo.
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,534 Reaction score 63,061 Feb 7, 2016 #4 Utumwa praise and worship church
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Feb 7, 2016 #5 Wasanii Jazz Band,,,.......
Madrid86 JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,327 Reaction score 692 Feb 7, 2016 #6 Daah hizi imani hizi!
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Feb 7, 2016 #7 Bavaria said: Click to expand... Sasa hapo mbona kama maeneo hatari yako sawa kiasi kwamba zipi ikiwa wazi na huyo mbebaji suruali ikiachia huko nyuma goli linaingia. .....hatari hii
Bavaria said: Click to expand... Sasa hapo mbona kama maeneo hatari yako sawa kiasi kwamba zipi ikiwa wazi na huyo mbebaji suruali ikiachia huko nyuma goli linaingia. .....hatari hii
Danken Mbombo JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 651 Reaction score 339 Feb 7, 2016 #8 ..huenda ni maigizo tu kuna kitu mhubiri atakuwa ana - demonstrate , ila kama itakuwa ndiyo staili yao ya kuhubiri basi ipo shida hapo
..huenda ni maigizo tu kuna kitu mhubiri atakuwa ana - demonstrate , ila kama itakuwa ndiyo staili yao ya kuhubiri basi ipo shida hapo
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Feb 7, 2016 Thread starter #9 Kasinde said: Sasa hapo mbona kama maeneo hatari yako sawa kiasi kwamba zipi ikiwa wazi na huyo mbebaji suruali ikiachia huko nyuma goli linaingia. .....hatari hii Click to expand... Goli gani?
Kasinde said: Sasa hapo mbona kama maeneo hatari yako sawa kiasi kwamba zipi ikiwa wazi na huyo mbebaji suruali ikiachia huko nyuma goli linaingia. .....hatari hii Click to expand... Goli gani?
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,214 Reaction score 28,145 Feb 7, 2016 #10 Bavaria said: Goli gani? Click to expand... Lengo..
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,085 Feb 7, 2016 #11 Imani inapokuwa mzigo
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Feb 7, 2016 #12 Bavaria said: Goli gani? Click to expand... Bavaria said: Goli gani? Click to expand... Goli la kati penye kujuza mema na mabaya
Bavaria said: Goli gani? Click to expand... Bavaria said: Goli gani? Click to expand... Goli la kati penye kujuza mema na mabaya
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,085 Feb 7, 2016 #13 Kasinde said: Goli la kati penye kujuza mema na mabaya Click to expand... [emoji87] [emoji23] [emoji3] [emoji3]
Kasinde said: Goli la kati penye kujuza mema na mabaya Click to expand... [emoji87] [emoji23] [emoji3] [emoji3]
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Feb 7, 2016 #14 Mbingu inatafutwa kipumbuvu sana, hao waumini wameshaaminishwa hivyo!!?
evansGREATDeal JF-Expert Member Joined Jan 4, 2016 Posts 4,013 Reaction score 2,335 Feb 7, 2016 #15 may be kulikuwa na maigizo2,...
real G JF-Expert Member Joined Feb 7, 2013 Posts 5,227 Reaction score 5,303 Feb 7, 2016 #16 ulokole shida
Cathode Rays JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 1,738 Reaction score 1,495 Feb 7, 2016 #17 real G said: ulokole shida Click to expand... Sio shida mkuu, Sema wengi walioko ndani yake wanakengeuka kinyume na kisingi yake na kuranya uonekane ni kituko na shida Na wengi ni wanga tu wanaojivika vazi la kondoo wakiwa na mbwa mwitu
real G said: ulokole shida Click to expand... Sio shida mkuu, Sema wengi walioko ndani yake wanakengeuka kinyume na kisingi yake na kuranya uonekane ni kituko na shida Na wengi ni wanga tu wanaojivika vazi la kondoo wakiwa na mbwa mwitu
Pakawa JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 8,227 Reaction score 14,195 Feb 7, 2016 #18 Kanisa la wendawazimu!
shuve JF-Expert Member Joined Oct 11, 2012 Posts 312 Reaction score 103 Feb 7, 2016 #19 Ngoja tupandwe sana situnapenda miujiza ona sasaa maajabu ayoooo
Sema Sasa JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 651 Reaction score 899 Feb 7, 2016 #20 Semina hiyo, huyo facilitator anaelekeza kwa vitendo kuvuta hisia za watu na kueleweka zaidi kwa hadhira
Semina hiyo, huyo facilitator anaelekeza kwa vitendo kuvuta hisia za watu na kueleweka zaidi kwa hadhira