LIP STICK ZINGINE hapana aisee

LIP STICK ZINGINE hapana aisee

kero zingine za kujitakia

mtu anapita barabarani we unakereka na lipstick yake?

huna cha maana cha kufanya?

ukisikia gubu ndo hili

avatar132738_9.gif


Nadhani ana jambo na hawa watu... #sina maana hiyooooooooooooo.....
 
hapo ;linakuja swali lileeeeeee 2lojadili mwanamke mrembo kama huwez kuaford gharama sepaaaaaaaaa
 
kazi kusingizia lipshine zimeganda kwenye glass mara kwenye nguo mara kwenye shavu au niku2mie airtel money hakatwi m2 hapa!
 
Naona umeununua ugomvi!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu mbona ulisahau kua hadi kwenye mgegedo sometimes unabaki....lol

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
JF haitabiriki aisee....

Sikutegemea kama jamaa atakosa wa kumsapoti

(But it is too early to conclude)

Labda watakuja wenyewe
 
sa mshinga we kilichokukera nini sasa

Nilikusubiri sana uje umpe elimu ya hii mambo ili akamfundishe mkewe namna ya kupaka isibakie kwenye nguo kama wewe mara zote tunaenda shopping sijawahi daiwa eti umechafua nguo! Mpige pindi jamaa mkewe huenda anakanda kwenye midomo kama anakandika udongo kwenye nyumba ya tembe wakati wewe huwa naona unapaka! cha ajabu kiss yako huwa naihifadhi hata kwa kuweka plaster ili alama ile isipotee kwa jamaa naona ni tofauti ehm mwambie furaha yako unapoona nimehifadhi kiss yako!!!!!!!!!
 
kuna siku nilitapika mtu anajipaka madudu mdomoni kope utadhani jini ! Watu walijua naumwa!
 
Tatizo huyo dem ako anapaka lipstick za bei rahisi that's y zinabakisha alama kwa glass au popote bt akipata za bei wala haziachii alama kivilee
 
Back
Top Bottom