LIP STICK ZINGINE hapana aisee

LIP STICK ZINGINE hapana aisee

Lipstick sio mbaya mkuu!Ila sometimes by technical error tu huwa hawa madada wanazidisha bana!

Juzi pale Mliman City nilimuona Lulu kajipaka lipstic ya njano lip yake za juu na nyekundu lip ya chini ahahaha!

Hao wanaoathirika wanapaka lipstick ya kutoka sayari nyingine?
 
Hao wanaoathirika wanapaka lipstick ya kutoka sayari nyingine?

Lipsticks makes lady super hot na ni ishara ya urembo pia!Mwanadada bila lipsticks ya rangi mm siwezi enda nae out maana hatakuwa na tofauti na mm !
Mshinga au ww hata lips shiner hutumii?
 
Last edited by a moderator:
Najua hawakoti ila napinga hoja ya kitoto kuwa mwanamke ni gharama alafu gharama yenyewe lipstick,ebu watuwekee hapa bei ya hizo ya lipstick uone zilivyo rahisi.siogopi bei mana gharama yake ni ndogo mno.
Kumbe wewe unacheza ngoma ya kupaka wanja au?Sikuhitaji pongezi nataka wajue na waache hiyo mirangi yao yenye hatari.Hata wabwia unga wanapenda ila tunawakataza na si kila upendacho unaihitaji kuachwa.Nani kakwambia kila apakaye mume anafurahia?Acha uongo wa waziwazi mbona kuna mtu kasema alitapika(scatter) ama na huyo anapenda?

Hapo kwenye red kwa nini unafikiri hakuja hapa kuwakataza wapakaji wote? mwana ndoa ukiona mwenzio kafanya kitu kikakukwaza unazungumza nae mnalimaliza si kulibebea bango!
Hutaki ushauri, kupongezwa kumbe unataka nini sasa? Mbana hukuonyesha hayo madhara kwenye uzi wako na hukuyazungumzia kabisa kwa hiyo wangeota? unafikiri kwa hali ya kawaida ungetaja madhara yatokanayo na lipstick nani angekudharau? ulitaka waote kuwa kuna madhara? wewe ulisema "Msichana anapaka lip stick kama anapaka nyumba rangi,rangi sijui nyekunduu,ya njano,ya bluu,ya kijani,yaani hadi kero,akikukiss anakuachia mirangi yake,dukani nako wanamlalamikia,akijaribisha nguo ili anunue anaziachia lipstick yake,machoni nako kapaka sijui mirangi gani,hadi wengine kama mimi tunaona kinyaa.
Alafu anakatiza mitaa akiamini hapo ndo mwake,akinywa maji kwa glass tayari lipstick"
wewe hapo kuna madhara gani umeonyesha au chuki zako tu na ushamba wa huyo mkeo? nimekwambia wangu nampeleka shopping ya nguo karibia kila mwisho wa mwezi sijawahi kutana na swala la yeye kuacha rangi kwenye nguo! wala akipaka mimi sioni kinyaa na furahia sasa unataka akufurahishe wewe na wakati ni mke wangu mimi, mbona huyo wako na ushamba wake wa kutojua nini mme hataki simzungumzii?
Orodhesha hayo madhara hapa kama ni kweli yapo with critical evidence, wala hakuna atakaye ku-attack!!!!!! kama ndilo lilikuwa lengo ulikosea mlango!
 
Back
Top Bottom