Lionel Messi ni wakati wa kupewa jina analostahili

Aende tim gani yenye hadhi kwake! Coz barca ndio tim pekee inayomfaa kuliko tim yeyote ulimwenguni...kwa mbaali RM. Waliobakia watamlipa nini? Na kama kukutana alishakutana na tim za epl mara nyingi, Bundes liga, ligue 1 and serie A na amewanyanyasa sana, sasa bado nini!!! Tim za amerika ya kusini pia ashakutananazo kazinyanyasa kama kawaida yake...

Teh teh teh

Haijalishi mkuu,ingekuwa ni vyema zaidi tu kama ningemuona na kwingineko ndio nipime vizuri ubora wake
 
Andunje, ukiona mtu anapenda andunje naye ni andunje pia.

Kama unabisha weka picha!

IMG_20181211_151258.jpeg
 
Wewe uliyeleta mada hii na mwandishi wake, naweza kusema au nasema hii ndiyo makala bora ya mwaka.

Messi hafananishwi na mchezaji yeyote duniani!
 
Yah Ni kwer kwa upande mwengine inabd afanye hvo ....ni mchezaji mzuri lakin kwa Hispania tu................sabab timu yake inapotoka nje ya ligi hua anawakati mgumu wa kuposes mechi ...........................sometime anafichwa kabisa...inabidi aondoe mazoea ya big match kama real Madrid atletico Madrid sevilla Valencia.... Inabidi apate ushindani ndani ya ligi kwa bigmatch tofauti....namkubar jamaa lakin aje na uingeleza kidg Hata italy au ufalansa ............Germany kugumu....lakin akisalia Hispania ..basi katika historia ya mpira ukitaka kumwongelea mess inabidi uende Hispania ..........

Mafans wa Ronaldo mna tabu sana 😀...kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa King Messi akienda kwenye ligi ingine hawezi kuwika!!!? Mtu huyo huyo anazifunga tim zote bora zinazotoka kwenye hizo ligi ambazo unawaza kichwani mwako kuwa hawezi kuwika kwenye ligi hizo. Dah yani upofu mwingine wa ajabu sana 🤗🤗 hapa duniani hakuna ligi unayoijuwa wewe ambayo King akienda kucheza hawezi shine kama alivyo pale spain sema ni mambo tu ya kibiashara muajiri wake hataki kumuachia na anachokitaka mwenyewe anatimiziwa na pia yeye mwenyewe kuwa royal kwa tim yake...King si wa kawaida kamanda....msiwe mnapenda kumfananisha na wendawazimu. Sawa kamanda! Usiku mwema!
 
Mafans wa Ronaldo mna tabu sana ...kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa King Messi akienda kwenye ligi ingine hawezi kuwika!!!? Mtu huyo huyo anazifunga tim zote bora zinazotoka kwenye hizo ligi ambazo unawaza kichwani mwako kuwa hawezi kuwika kwenye ligi hizo. Dah yani upofu mwingine wa ajabu sana hapa duniani hakuna ligi unayoijuwa wewe ambayo King akienda kucheza hawezi shine kama alivyo pale spain sema ni mambo tu ya kibiashara muajiri wake hataki kumuachia na anachokitaka mwenyewe anatimiziwa na pia yeye mwenyewe kuwa royal kwa tim yake...King si wa kawaida kamanda....msiwe mnapenda kumfananisha na wendawazimu. Sawa kamanda! Usiku mwema!
Hahahaaaa aya bhana barca 1-1 Tottenham....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom