Mkuu mwisho kabisa nimepata message yapao mkuu weka hizo command utaweza kuistall codeblocks itafanyakazi vizuri tu kwenye 16.04
Mkuuu kabla ya kuanza kuinstall natumai upo na internetMkuu mwisho kabisa nimepata message ya
E: unable to locate package codebloacks
Nafanyaje hapo? Hii imetokea pia wakati na install latex
sudo apt-get update
Mkuu mwisho kabisa nimepata message ya
E: unable to locate package codebloacks
Nafanyaje hapo? Hii imetokea pia wakati na install latex
Ngoja nifanye hivyo nawapa mrejeshojaribu na kuanza na upgrade system yako....
sudo apt-get update
halafu weka tena hizo command za kuinstall code blocks..
Mkuuu kabla ya kuanza kuinstall natumai upo na internet
Update kwanza system
ukishamaliza ndio uanze kuinstall hizo package(software)Code:sudo apt-get update
Bado napata hiyo messagejaribu na kuanza na upgrade system yako....
sudo apt-get update
halafu weka tena hizo command za kuinstall code blocks..
jaribu na kuanza na upgrade system yako....
sudo apt-get update
halafu weka tena hizo command za kuinstall code blocks..
Ngoja nifanye hivyo nawapa mrejesho
weka hizi command kwenye Terminal yakoBado napata hiyo message
sudo add-apt-repository ppa:damien-moore/codeblocks-stable
sudo apt update
sudo apt install codeblocks
Mkuu hizo zote zipo lakini naona bado kuna shidaweka hizi command kwenye Terminal yako
sudo add-apt-repository main
sudo add-apt-repository universe
sudo add-apt-repository restricted
sudo add-apt-repository multiverse
halafu update system yako....
sudo apt-get update
halafu install codeblocks....
😉😉😉
Mkuu nadhani saizi nimefanikiwa maana ile message haijajitikeza, naomba kujua hii program ntaionaje sasa kuwa ipoweka hizi command kwenye Terminal yako
sudo add-apt-repository main
sudo add-apt-repository universe
sudo add-apt-repository restricted
sudo add-apt-repository multiverse
halafu update system yako....
sudo apt-get update
halafu install codeblocks....
😉😉😉
Huwa kuna sababu kwa nini watu serious huwa wanawalipa wataalam wawafanyie kazi. Sio kwa sababu ya utajiri, la hasha!kweli mkuu.Nilijaribu ku install along side w10 nikajikuta nime format kila kitu kwenye pc
Sijafuatilia maongezi yenu ila jaribu kutafuta kwenye dash kama unatumia unity.Mkuu nadhani saizi nimefanikiwa maana ile message haijajitikeza, naomba kujua hii program ntaionaje sasa kuwa ipo
Sijakuelewa mkuu jaribu kueleza zaidiSijafuatilia maongezi yenu ila jaribu kutafuta kwenye dash kama unatumia unity.
Press Windows key na dash itakuja. For more information... Google!
hujaelewa wapi specifically?Sijakuelewa mkuu jaribu kueleza zaidi
Start button ya Ubuntu ibonyeze halafu andika codeblocks au kwenye terminal andika command "codeblocks"Sijakuelewa mkuu jaribu kueleza zaidi
Kwanza mkuu ujue nime install leo hii Ubuntu kwa hiyo kuna vitu vingi sivijui, sijaelewa kwanza hiyo unit yenyewehujaelewa wapi specifically?
Asante mkuu, lkn latex bado inanisumbuaStart button ya Ubuntu ibonyeze halafu andika codeblocks au kwenye terminal andika command "codeblocks"
mmmh sasa unapata error msg gani,maana error msg yako inaonyesha kuwa haziko enable kwa maana yake unapoweka commond ya kutaka ku-install package kama latex,au codeblocks inakuwa haiwezekani...Mkuu hizo zote zipo lakini naona bado kuna shida
Mkuu nadhani saizi nimefanikiwa maana ile message haijajitikeza, naomba kujua hii program ntaionaje sasa kuwa ipo
Asante mkuu, ubarikiwe sana pamoja na mh. Mwaminifuhalisimmmh sasa unapata error msg gani,maana error msg yako inaonyesha kuwa haziko enable kwa maana yake unapoweka commond ya kutaka ku-install package kama latex,au codeblocks inakuwa haiwezekani...
Ok,,nenda kwenye "search your computer" option iko juu kabisa kwenye bar yako ilioko upande wa kushoto ,bonyeza halafu andika "c" utaiona hiyo application right click and lauch 😀
Anytime mkuu,tuko pamoja,je unajua kuwa Ubuntu unaweza kuifanya ionekane kama MAC,.....vilevile jaribu ku-install apache web server ili upate kutest page zako na mambo mengine .....Asante mkuu, ubarikiwe sana pamoja na mh. Mwaminifuhalisi