Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

Mkuu matatizo inawezekana yakawa huja mount USB yako,chakufanya nenda chini kwenye installation menu ponyeza execute "a shell" halafu mount USB au kama ni CD rom, (mount /dev/Sr0 /cdrom)....
 
Mkuu nikisha download nafanyaje ili iweze kurun
sorry was a way kwa muda, uki download open hio app then weka flash yako then load image yako ya iso then run
 
sorry was a way kwa muda, uki download open hio app then weka flash yako then load image yako ya iso then run
Plz mkuu maelezo zaidi ya kuoload hizo image
 
sikia anada hivi vitu:
1. image ya ubuntu iso
2.rufus software downloaded
3.usb flash
ukiwa na hivyo niambie
Mkuu naona kama ku-install Ubuntu kwa kutumia Universal usb software ni rahisi zaidi kwa yule ambae ni mara ya mwanzo ku-install Ubuntu
 
Mkuu naona kama ku-install Ubuntu kwa kutumia Universal usb software ni rahisi zaidi kwa yule ambae ni mara ya mwanzo ku-install Ubuntu
yes kabisaaaa ndo nataka kumuelekeza jinsi ya ku andaa bootable usb ya ubuntu ili aweze ku install
 
sikia anada hivi vitu:
1. image ya ubuntu iso
2.rufus software downloaded
3.usb flash
ukiwa na hivyo niambie
Mkuu nimefanikiwa kuinstal tayari, naomba kujua nikitaka kuconnect wireless internet kutoka kwa simu yangu pia wi-fi zingine tu nafanyaje?
Pia nikitaka kuinstal program kama latex na c++ nafanyaje?
 
Mkuu naona kama ku-install Ubuntu kwa kutumia Universal usb software ni rahisi zaidi kwa yule ambae ni mara ya mwanzo ku-install Ubuntu
Nikweli mkuu nimetumia njia hiyo ni rahisi sana
 
AHMARDZ na Mwaminifuhalisi, nawashukuru sana nimeweza kudownload na kuinstal Ubuntu kwa maelekezo yenu!!
Nikili kuwa sikuwa najua chochote kuhusu hili swala na nilikuwa na itafta sana hii Ubuntu kwa mda mrefu kidogo, nawashukuru sana!! Nimeona umhimu wa jamii forum kwa hili.
Pia niwaombe ndugu zangu ntaendelea kuwasambua na mwqswali ya hapa na pale ili niweze kuitumia vzr hii Ubuntu
 
Nashukuru saana, karibu saana GUI, explorer kila kona ya ubuntu uki kwama njoo hapa tuta jadiliana pamouja na amini utafanikiwa tuh.
 
Reactions: GUI
Nashukuru saana, karibu saana GUI, explorer kila kona ya ubuntu uki kwama njoo hapa tuta jadiliana pamouja na amini utafanikiwa tuh.
Asante mkuu, kwa kuazia naomba kusaidiwa namna ya kuinstal latex, quincy(c++). Pia wireless internet naipataje?
 
Asante mkuu, kwa kuazia naomba kusaidiwa namna ya kuinstal latex, quincy(c++). Pia wireless internet naipataje?
Kompyuta gani unatumia? Kuinstall c++ unatakiwa kuweka compiler kwanza. Andika kwenye terminal hii code.
sudo apt-get install g++
 
nitajaribu hii
 
Kompyuta gani unatumia? Kuinstall c++ unatakiwa kuweka compiler kwanza. Andika kwenye terminal hii code.
sudo apt-get install g++
asante sym kaanza na support nzuri, since unapenda mambo ya programming install na eclipse kwajili ya java sudo apt-get install eclipse kuhusu wireless naitaji kujua pc gani unatumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…