Umefanya kitu gani hadi wakaku restrict? Wamehisi kuna mtu amekuhack?Msaada iwapo kuna mtu anewai kukutana na changamoto ya account yake kuwa either permanent restricted au temporary restricted nimefanya appeal za rangi zote ila bado wamenishikiria.
Taarifa za msingi zote ninazo zote we nisaidie kunipa mwongozo tu wa kipi chakufanyaMm nililambwa block ila walinifungulia chamsingi uwe na taarifa sahihi za akaunti Yako Kisha nenda huduma kwa wateja iliyopo twitter account Yao kisha waeleze wape taarifa zako watakufungulia
Uliowakodishia akaunt walikulipa?Taarifa za msingi zote ninazo zote we nisaidie kunipa mwongozo tu wa kipi chakufanya