Umenena vyema, I wish kila mtu ange-mention mwingine aisome hii thread ingwasaidia wengi sana sana, ukiwataja wawili au watatu itakua umenfanya kitu cha maana sanaNa hasa kama dreams zako ni kufanya kazi nje ya nchi,humo kwenye linkedIn ndipo kwenyewe.Nilishapata kazi 2 nje ya nchi kupitia linkedin.Watu wanaweza wasisome CV yako yote, kwa hiyo pale kwenye Career summary ndipo unapotakiwa kumaliza biashara.
Mpwa hapo umenichosha hahahahahhahaaaa unaona watu walivyokuwa na CV za ajabu ajabu eeeh, halafu unaingia mtu unajifanya mjanjaaaaa kumbe Lol
Mpwa hakuna profesheni kubwa wala ndogo, jitahidi ufike, unavyojiuza ndivyo unavyonunulika haijalishi ni ndogo au kubwaMpwa nina kiprofesheni kimoja hivi ila naogopaga kujiweka kule
Uko sahihi kabisa Mpwa, ni kuwa tu mjanja kidogo kwenye mitandao, kama mut hakufundishwa kutumia Whatsapp iweje ashindwe kutumia LinkedIn, ni uvivu tu hawana lolote
Km ulikuewepo ndugu yangu wengi wao hawajadili mambo ya maana ni upuuzi tu
maisha yamenisukumia huko ingawa bado ni mdogomdogo
Hii inagusa mpaka wakubwa Wa nchi unakuta MTU yuko weak kwenye complex issues ambazo dunia inategemea mwongozo wake...
Umenena vyema, I wish kila mtu ange-mention mwingine aisome hii thread ingwasaidia wengi sana sana, ukiwataja wawili au watatu itakua umenfanya kitu cha maana sana