Mfukunyuzi
Senior Member
- May 30, 2012
- 125
- 9
kuna vitu kama FACULTY REQUIREMENT / VITENDEA KAZI KWA KOZI ZA ENGINEERING NA ARU KUNA HIZI PESA HELA YA FIELD /PRACTICAL TRAINING KWA WALE WENYE FIELD KUANZIA MWAKA WA KWANZA
MARA NYINGI MCHANGUO WA HUO MKOPO HUWA UNAZINGATIA VITU HIVI
1. TUITON FEES AS PER MEANS TEST /( ASILIMIA YA ADA 100%,90%.. nk)
2.meals and accommodation hii iko flat rate kwa wote haina percent ( sijui ndio sh ngapi siku hizi..)
3. books and stationary allowance
4.practical training/teaching practice/ndio field hii na hii as per your means test yaani kutokana na grade yako ya mkopo
5.hela ya project/research hii wanapewa final year (3rd,4th year)
6.faculty requirement kuna kozi kama za engineering na science zinahitaji vitendea kazi kam drawing board ,calculator nk so mahesabu yanaenda kwa kuzingatia baadhi ya hivi vigezo au vyote..
KUMBUKA HIYO PESA NI LUMP SUM/ YAANI YA JUMLA NA MWAKA HUU SIJAONA HATA ILE COLUMN YA GRADE AMBAYO INGERAHISISHA SANA WATU KUELEWA
oya mwana una pc unichekie boom mkuu,f yes nikupm